๐ŸŒช (@ithemeddy) header
๐ŸŒช (@ithemeddy) profile picture

No noise. Just growth. ๐Ÿฅท๐Ÿ’€ #LFC

Dar es salaam
Joined February 2023
Photo by ๐ŸŒช (@ithemeddy)Photo by ๐ŸŒช (@ithemeddy)
Leo Washkaji Zako Wanakusifia Kwa Kubadilisha Wanawake Mara Kwa Mara, Lakini Kesho Ndugu Zako Watakusifia Kwa Kuwa Umeweza Kumaliza Nusu Ya Kikombe Cha Uji.๐Ÿ˜Ž๐Ÿค”
2
8
175
Kwa mnaosubiria video kutoka kwangu leo, msisubiri. Nimeona nijipe muda, moyo wangu upoe kidogo na maumivu yaliyo rohoni mwangu yastahamilike kidogo la sivyo hakuna la maana nitakaloongea zaidi ya kuwamwagia machozi mwanzo hadi mwisho wa videoโ€ฆ..
51
163
2
985
19,270
saa hii zikishuka umebant,stage tunazitafutia monday
4
5
14
182
๐ŸŒช retweeted
The sun has gone down. Cherish your time, because time once lost is gone forever.
3
3
54
๐ŸŒช retweeted
I think before AI movies kulikuwa na hizi movie za kihindi ๐Ÿ˜‚, haswa hizi za Salman khan, sijuu Sanjay nani!? ๐Ÿ˜‚
1
2
3
122
๐ŸŒช retweeted
Maumivu ya leo yanaweza kuwa hekima ya kesho >>>
2
10
19
371
๐ŸŒช retweeted
Kuongoza nchi ambayo watu wake hawajali raha sana, kuna mtu kavaa suti yake kafika kazini cha kwanza kazima switch ya mtandao na hakuna mtu anaehoji๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1
3
8
392
๐ŸŒช retweeted
Leo ni ijumaa, wamekatisha tafrija. Basi amna noma tulambe tu ata tatu tupunguze machungu.
4
1
10
261
Ufundi wake muumba ๐Ÿ”ฅ
3
8
285
๐ŸŒช retweeted
Kama utarusuu njaaa ikusaidie kufanya maamuzi, basi ukishiba utajuta Mkuu.๐Ÿซต๐Ÿฝ
4
9
28
335
Depression is real ๐Ÿ’” lakini nani atakukumbatia ulie na kukuelewa bila kukujudge vibaya na kutumia hali yako kukusema vibaya kwa watu ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ™Œ โ€“ at Dar es Salaam, Tanzania
4
10
19
333
๐ŸŒช retweeted
Binadamu anaogopa Kufa ndio maana anapelekeshwa๐Ÿ™
5
10
64
1,156
Na siku ya leo yani naiona ndefu kisenge, kuna mambo najaribu kuyatafakari lakini sipati jibu. Haya maumivu tunapitishwa sijui na kwanini hawajifunzi hawa watu. Ni kiburi cha namna gani hiki aise ๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ’”
2
12
24
341
Kunamtu Kasema Bodaboda wa nchi hii wanamaisha mazuri kuliko polisi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Nikasema niwafikishie wanangu tujadili kauli hii
15
22
1
182
5,118
Hebu twendeni mbele turudi nyuma jua linawaka sana nyinyi masikini wenzangu mnafanya vipi mapenzi๐Ÿค”
13
19
30
609
๐ŸŒช retweeted
Siku moja utaelewa kwa nini ulilazimika kupitia magumu uliyopitia.
5
21
2
34
871
๐ŸŒช retweeted
Ubaya wa Tanzania, mzigo utabeba peke yako wengine watauzunika siku moja Kesho mambo yanaendelea Kama yalivyokuwa juzi.
19
29
78
3,205
Ukichimba KISIMA ili watu wapate maji na wewe utapata maji. Ukichimba kisima ili watu wazame jua na wewe kuna siku UTAZAMA
8
83
4
519
9,554
#TajiriLaKihaya Duh Hadi Chozi limenidondoka ๐Ÿ’”๐Ÿ’” * Mhe. Lissu anaendelea Waheshimiwa majaji nafaham mnajua kwamba nina msiba mkubwa sana wa mtu aliyenilea, amenifanya mimi kuwa mwanasheria, kwasabu sikupata nafasi ya kumuuguza, nilikuwa natumaini kuwa Mahakama itaniacha niende nikamzike Mzee Alutte, I was hoping that, inaelekea kuwa hiyo haipo kwenye mahesabu yenu, mnapokuwa mnafikiria adhabu mfikirie na hilo, family obligationdls is a factor kuamua adhabu, huyu mtu amefiwa, Dunia nzima inajua, magazeti everywhere, I was hoping that nitapata nafasi ya kwenda kumzika huyu aliyenilea. Waheshimiwa majaji leo ni mwaka na miezi 7 niko gerezani, mnapofikiria adhabu kali muitoe msije mkasahau kwamba huyu mtu ameshakaa gerezani kwa kosa ambalo mmelisema wenyewe kuwa sio kosa, halijathibitishwa na wala msije mkasau walichokisema jopo la Majaji watatu wenzenu: Jaji Mruma, Dkt. Longopa na Jaji Rumisha kuhusiana na niliyotendewa gerezani. Wamesema nimenyimwa fursa ya kuwasiliana na mawakili wangu, Viongozi wenzangu wa chama halali cha Chadema, nimenyimwa fursa hata ya kuomba Mungu. Majaji wenzenu wamesema hayo yaliyotendeka nilinyimwa fursa na haki ya kujitetea, msije mkasau hayo mnapofikiria adhabu kali. Waheshimiwa Majaji mimi ni raia mwema wa nchi hii, mzalendo wa nchi hii, nimetumikia nchi hii kama Mbunge wa kuchaguliwa na Wananchi mara 2 nimekwenda Jeshini, nimekuwa Rais wa Chama cha Wanasheria wa nchi hii, mimi sio mpiga kelele, I am a patriotic, ndio maana nimeona na mabalozi wako Mahakamani, wanajua mimi ni patriotic hivyo mnapofikiria adhabu msije mkasahau hoja hii. Waheshimiwa Majaji gerezani sio mahali pazuri sana, nasema hivyo kwasababu nimeishi kwa siku 577, nakaa kwenye chumba cha sita kwa sita, sio sheraton hotel, unaweza ukasema tu funga kama hujui Gereza ni nini? Nasema haya kwasababu mimi sio mzima sana, kwenye huu mwili wangu nina operesheni 25, visu vya madaktari, ninatembea na risasi mwilini. Katika risasi 16 zilizoingia mwilini moja walishindwa kuitoa, ninatakiwa niwe naenda Hospital Ubeligiji, Hospital ya chuo kikuu cha Luven nilikotibiwa baada ya yaliyonikuta miaka 9 iliyopita, nimeshamiss appointment 4 kwasababu ya kesi hii, juu ya yote hayo Majaji nina kisukari huu mwaka wa 6 sasa, kwahiyo mtakapokuwa mnatafakari hiyo adhabu kali, mkumbuke hilo kwamba hali yangu ya kiafya sio nzuri sana. Waheshimiwa majaji kosa la uchochezi mara ya mwisho nilipoangalia ni kosa lenye dhamana, kama itawapendeza Kwa vile hili kosa lina dhamana, mnipe dhamana ili nikatie uamuzi wenu huu rufaa nikiwa nje kwa dhamana lakini muhimu zaidi pia ili nikamzike huyu aliyelala (Mzee Alute), nilisema sina mpango wa kuomba ila dhamana naomba.*
30
67
6
372
33,634
๐ŸŒช retweeted
Tanzania's High Court has acquitted opposition leader Tundu Lissu of treason charges but found him guilty of incitement, in a major development in a trial that has attracted national and international attention.
21
294
11
674
42,122