Around miaka 4 hv nlikuwaga mama ananiambia nliukuta huu mzinga na mwingine ukiwa kwa glass nkaubiwa, walinitafuta siku nzima nakuja kuamka saa tatu usiku natoka chini ya meza nko bwiii sio poa, hapo washaenda hadi kituoni mwenge kutoa report,nahisi ulevi ulianzia hapa! 😂
Nimemiss mbuyu huu😃 balaa enzi hizo