Pinned Tweet
Maisha ni mafupi sana ndugu zangu unaweza kua na mtu sasa hv baada ya dakika kadhaa ukasikia kapata ajali na hayupo tena duniani naomba tupendane tu chuki na uhasama sio kitu kwetu tuomyeshane kupendana ingali tu hai hatujui mda wa saa ya kuondoka duniani
Libra ♎ retweeted
Katiba yao ya mchongo ikishindikana , Kikwete na Samia Suluhu wanataka kumrithisha Deo Ndejebi Urais ili kuepuka uchaguzi wa mgombea ndani ya CCM then waibe tena uchaguzi mkuu…..
Kikwete na Samia wanataka kuendelea kuishikilia Ikulu kwa njia yoyote ile hata kama italeta tena maafa kwenye nchi.
Hawa watu hawakujifunza kitu October 29.
Watanzania tuendelee kudai haki, uhuni wa Kikwete kutuwekea marais umefika mwisho. Sasa ni muda wa Watanzania woote kuanzia ndani ya CCM mpaka nje ya CCM kuwa na haki ya kuchagua Rais wao na wabunge.
HAKI LAZMA IPATIKANE, NCHI LAZMA IRUDI KWENYE MIKONO YA WANANCHI!!!!
Dah tunaanzia Wapi kujitoa ndugu zanguni
Katiba yao ya mchongo ikishindikana , Kikwete na Samia Suluhu wanataka kumrithisha Deo Ndejebi Urais ili kuepuka uchaguzi wa mgombea ndani ya CCM then waibe tena uchaguzi mkuu…..
Kikwete na Samia wanataka kuendelea kuishikilia Ikulu kwa njia yoyote ile hata kama italeta tena maafa kwenye nchi.
Hawa watu hawakujifunza kitu October 29.
Watanzania tuendelee kudai haki, uhuni wa Kikwete kutuwekea marais umefika mwisho. Sasa ni muda wa Watanzania woote kuanzia ndani ya CCM mpaka nje ya CCM kuwa na haki ya kuchagua Rais wao na wabunge.
HAKI LAZMA IPATIKANE, NCHI LAZMA IRUDI KWENYE MIKONO YA WANANCHI!!!!
21
Libra ♎ retweeted
Huu ndio ujumbe wa MCHUNGAJI kwenye msiba wa Angle.
Kuna watu wanajiona kwasasa wanaishi PEPONI kwa kutuumiza wengine.
Tutavuka hata hiki pindi ni suala la muda tuu.
Libra ♎ retweeted
“Jaji Mkuu GEORGE MASAJU anapaswa kufahamu kwamba; WATU WANAJADILI HUKUMU YA YESU NA HAWAKUWEPO MAHAKAMANI, LAKINI WANAMLAUMU PILATO. Kwa hiyo, kujadili HUKUMU YA TUNDU LISSU, siyo KOSA,” ameandika Madeleka.
Libra ♎ retweeted
HABARI:
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema wananchi hawahitaji kuwa na elimu ya kiwango cha chuo kikuu ili kuelewa kama Mahakama zinatenda haki au la, akijibu kauli ya Jaji Mkuu wa Tanzania, George Mcheche Masaju, kuhusu ukosoaji wa hukumu dhidi ya Tundu Lissu.
Libra ♎ retweeted
DEO NDEJEBI ndio Plan B ya Samia Suluhu na Jakaya Kikwete……
Tusiite Afcon, tuiite AFCON YA WAUWAJI na wa Africa wenzetu wanaopanga kuja Tz tuwaambie wanakuja kusapoti mauaji ya Waafrica wenzao kupitia sports washing
Libra ♎ retweeted
Mwanaharakati ninamuengelea ni huyu.
Huyu ndio mwanaharakati alieona kifo cha Angel.
@UHURU12345
Watanzania wote tumemwangusha mtoto Angel. Wanaharakati pia tumemwangusha mtoto Angel…….
KIFO CHA MTOTO ANGEL KIPO JUU YETU SISI WANANCHi…..
Tuanze kampeni ya kuwaomba Wa Africa wenzetu wasusie Afcon upande wa Tanzania ili kutuunga mkono kwenyw kudai haki…..
Lazma tuwe na Plan A, Plan B na Plan C juu ya AFCON. Tusiweke mategemeo yetu yote kwenye maandamano tu, lazma tuwe na strategies tofauti ili kuhakikisha Watanzania wanafanikiwa kuitumia Afcon ili kuwaanika Samia Suluhu, Jakaya Kikwete na ushetani waliowafanyia Watanzania.
Na pia tuanze kuelemishana mitaani kuwa tunasusia Afcon na kujipanga na maandamano.
Afcon lazma itumike kuonyesha dunia mauaji ya October 29……
Libra ♎ retweeted
Watanzania wote tumemwangusha mtoto Angel. Wanaharakati pia tumemwangusha mtoto Angel…….
KIFO CHA MTOTO ANGEL KIPO JUU YETU SISI WANANCHi…..
Tuanze kampeni ya kuwaomba Wa Africa wenzetu wasusie Afcon upande wa Tanzania ili kutuunga mkono kwenyw kudai haki…..
Lazma tuwe na Plan A, Plan B na Plan C juu ya AFCON. Tusiweke mategemeo yetu yote kwenye maandamano tu, lazma tuwe na strategies tofauti ili kuhakikisha Watanzania wanafanikiwa kuitumia Afcon ili kuwaanika Samia Suluhu, Jakaya Kikwete na ushetani waliowafanyia Watanzania.
Na pia tuanze kuelemishana mitaani kuwa tunasusia Afcon na kujipanga na maandamano.
Afcon lazma itumike kuonyesha dunia mauaji ya October 29……
Libra ♎ retweeted
Uongo wa DIKTETA JIKE akiwa mbele za watu mpaka shetani anakaa pembeni anakula shule.
Mtu aliweza kuuwa watanzania zaidi ya Elfu kumi afu akaja kuwafokea huku kashika kiuno kuwa "Kwanini hamkuwakataza watoto wenu wasitoke?"
Sijui watanzania tulimkosea nini MUNGU kustahili hii adhabu ya huyu MALAYA?
Libra ♎ retweeted
Huyu jamaa amenitoa MACHOZI.
Katumia lugha nyepesi sana kuelewesha watu. Usipomuelewa huyu jamaa basi.
REPOST 200
Libra ♎ retweeted
Congratulations to my very own Los Angeles congressman, Ted Lieu, one of the finest members of Congress in the United States.
Last year, you took time out of your incredibly busy schedule to speak with me in person after I practically fought my way into and crashed one of your fundraisers!
It was a room filled with great people, many of whom had the financial means to make meaningful political contributions. Honestly, I wasn’t sure I would get the opportunity to have a one-on-one conversation with you, given the significant difference in financial standing between me and many of the other attendees.
But you never made me feel any less important.
You didn’t measure my worth by how much money I could contribute to your campaign. You saw a constituent who was hurting, someone who needed help, and whose voice deserved to be heard.
You took the time to listen to my story, understand my circumstances, and, most importantly, your office went above and beyond in trying to get @Meta to do the right thing by reinstating my Instagram accounts, platforms that were instrumental in documenting and exposing human rights abuses in Tanzania.
For that, I will always be grateful.
In case you weren’t aware, before I finally got my one-on-one moment with you, I had introduced myself to your beautiful wife and explained how desperately I needed an opportunity to speak with you. She was incredibly kind and even gave me a little strategy for making it happen!
She told me, “As soon as that person finishes speaking with him, just walk up to him and start talking. Start with one sentence: tell him you’re a single mom of three, and he will listen to you.”
And that is exactly what I did!
My hope is that we can continue working together, not only to address what happened in Tanzania but also to advocate for meaningful legislation and stronger regulations governing social media companies.
These companies have acquired extraordinary power over public discourse. They can silence activists, dismantle platforms used to expose human rights abuses, and effectively erase the voices of millions of people, often without meaningful accountability or adequate legal remedies.
Section 230 of the Communications Decency Act needs meaningful reform.
We need stronger legal protections for the social media accounts of journalists, human rights defenders, and human rights activists. More importantly, we need safeguards to protect people in the United States from social media companies that may act under pressure, coercion, or direction from foreign governments seeking to suppress speech beyond their own borders.
I was silenced by the Tanzanian government while sitting right here in Los Angeles. And it was made possible by Meta.
Think about that for a moment.
A foreign authoritarian government was able to extend its censorship machinery into the United States through a powerful American technology company.
No foreign government should be able to weaponize American technology companies to silence Americans.
This is bigger than my own experience and the experience of the Tanzanian people. It is about protecting freedom of expression, defending democracy, and ensuring that technology companies do not become unaccountable gatekeepers of our fundamental rights.
What happened in Tanzania, the deplatforming of 2 of the most significant activists during human rights abuses, myself and @MariaSTsehai , is not the first instance meta has acted in favor of authoritarian governments inorder to conceal human rights abuses and mass killings.This has happened in other countries as well.
Thank you, Congressman, for remembering that your responsibility is to represent ALL your constituents, regardless of their financial standing, political influence, or ability to contribute to your campaign.
That is what genuine public service should look like.
I am currently engaged in a legal battle with Meta, one that could potentially have far-reaching implications regardless of
House Democrats elect @RepTedLieu Caucus Chair for the 120th Congress.
Libra ♎ retweeted
Mtoto wa miaka 13.
Ndoto zake alikua anataka kuwa daktari.
Angel alipigwa risasi na watu wenye uchu wa madaraka na kiu ya damu za watu.
Watu hawa wanaoendelea kuteka kila anaekosoa mfumo wao, wanaua, wanafunga jela kwa kesi za uongo.
Familia nyingi kama ilivyo familia ya Angel wanabaki na majonzi na maumivu yasiyokwisha.
Chuki inaongezeka, uhasama unajengeka wannabe wanafikiri wataua kila Mtanzania anaekemea huu uovu Mpaka wabaki ambao wataogopa kabisa na kukaa kimya wote..
Nafikiri wanajidanganya sana, kila uovu unaofanyika unaongeza chuki, unawapa watu ujasiri wa kupinga mabaya na wengi zaidi watazaliwa kukataa huu mfumo wa kidkteta wa sisi kuishi kama mateka.
Tunakulilia Angela kama wengine wote ambao maisha yao yamekatishwa na yanaendelea kukatishwa bila sababu.
Tunajua uovu wao huu wanataka kutubambikizia sisi, tunajua kesi wanaoandaa dhidi yetu ili kuficha wauaji halisi na kukamata watu wema.
Vyovyote watakavyofanya, tutaendelea kupigania haki ya kila mtu na lazima itapatikana na waliohusika watawajibika.
Pole sana familia ya Angel.
Pumzika kwa Amani Malaika.
Libra ♎ retweeted
Mimi SATIVA ikija kutokea NIMETEKWA KENYA wahusika wakuu ni JESHI LA POLISI LA TANZANIA.
Hii Email nilitumiwa mwaka jana 9/11/2025 na dawati maalumu la "Doria mtandaoni" (Crime Desk).
Na alietuma Email hii ni AFANDE "ASP JOHN KAAYA" alikuwa shahidi namba 4 kwenye Kesi ya UHAINI YA MH LISSU.
Hii taarifa itunzwe kwa wivu mkubwa sana, najua hii nchi itakuja kukombolewa hata kama sitaona ukombozi wake ila hawa watu wanaotupoteza lazima wapate HAKI YAO.
CASE CLOSSED.
















