Pinned Tweet
SAMSUNG GALAXY S26 ULTRA
🔹 256GB / 12GB RAM
• Dual SIM — 2,600,000/=
• Single SIM — 2,500,000/=
🔹 512GB / 12GB RAM
• Dual SIM — 3,150,000/=
• Single SIM — 2,950,000/=
🔹 1TB / 16GB RAM
• Dual SIM —3,750,000/=
• Single SIM —3,550,000/=
B.T.M Global Tech retweeted
Sema watu tunaojuana nao ndugu jamaa na marafiki miyeyusho sana kwenye biashara wao wanachowaza kutudidimiza na sio kutuangusha mtu anakutafuta anataka pixel 3a unamwambia bei ni 280,000/= anakwambia nipe bei ya kishikaji kwa 200,000/= ushikaji gani huu si kuumizana😭💔
Sema watu tunaojuana nao ndugu jamaa na marafiki miyeyusho sana kwenye biashara wao wanachowaza kutudidimiza na sio kutuangusha mtu anakutafuta anataka pixel 3a unamwambia bei ni 280,000/= anakwambia nipe bei ya kishikaji kwa 200,000/= ushikaji gani huu si kuumizana😭💔
B.T.M Global Tech retweeted
“Umenipa kazi, nime deliver basi nilipe kwa adabu sio unanifinyia mkononi, hela yangu kwanini unipe kwa kificho?😂”
B.T.M Global Tech retweeted
#WalkwithConfidence
👣 TIMBERLAND
✅ QUALITY IS ASSURED
🔷 Price
55,000/=
🔷 Size
40–45
🚛 Delivery Dar na mikoani tunatuma
📍 Tupo K/koo mt. Congo&narung'ombe
📞0692930987 Whatsapp
☎️0798481584 Call
B.T.M Global Tech retweeted
Dini zote zinagombana na Shetani mmoja huyo huyo, japo kila Dini ina Mungu wake 😂
B.T.M Global Tech retweeted
Kumbe siku hizi mtoto wa form four anaingia kwenye paper la mathematics na calculator? Mambo yamekua mepesi sana 😂🙌
B.T.M Global Tech retweeted
Vita 10 kali za Twitter (X) mpaka sasa 2024
Funny thread don't take it serious 😂
Bonus pictures 📸 👇👇 shuka👇👇
B.T.M Global Tech retweeted
Solarmax 55” Android TV
770,000
~1 year warranty
~Free wall bracket
~Free delivery (Dar)
Call/Whatsapp-0625965198
B.T.M Global Tech retweeted
Hello wakuu
Hii ni used from japan
Inataka #Tshs 2.6m
IPO DAR (Mikoani Tunasafirisha)
CALL/WHATSAPP
B.T.M Global Tech retweeted
FormSix Tshirts available✅
Size M,L,Xl,XXl & 3Xl✅
Price 25000📌
📍 Ubungo External, Maziwa Road
We deliver countrywide
0763509705
B.T.M Global Tech retweeted
Ukitaka kujua vyuma unavyobeba vimekubali tafuta zoezi la kupakua na kupakia katoni za maji, nondo, sabuni au vipeto vya unga.
Ukipanda floors kama 3,4 hivi na mzigo akili inakaa sawa, wiki tuu six packs zinatoka na miguu inakaa sawa.😂
B.T.M Global Tech retweeted
Nimesikiliza story YouTube kuhusu anguko la kampuni mbili za mabasi ambayo ni Scandinavian Express pamoja na Dar Lux na zote zilifanya vizuri lakini mambo yalibadilika pale kampuni hizi zilivyopewa au kuchukua mkopo bank , Hivi kuna siri gani kati ya mkopo na anguko la biashara?.
B.T.M Global Tech retweeted
Hivi kwanini Mungu alihisi anamuhitaji mamaangu kuniliko!? I’m fucking broken and I need no one but her bro!! Fuck this life bro!! I fucking hate it here.
B.T.M Global Tech retweeted
Felista Akunai bibi mwenye miaka 61, wajukuu 11 na watoto 6, ameamua kurudi shule kusoma. Felista aliishia darasa la 7 mwaka 1982 lakini sasa amefanya mtihani wa QT Form Two huko Manyara, akafaulu na sasa anasubiri matokeo ya form four. Anataka kutimiza ndoto yake ya kuwa Mwalimu
B.T.M Global Tech retweeted
SHAMBA LINAUZWA NALA CHIGONGWE.
27km kutoka mjini.
3km kutoka lami ya singida road.
Lina ukubwa wa ekari 7
Lina vichaka vichache.
Bei ni milioni 2.9 kwa ekari.
0664 164 669
B.T.M Global Tech retweeted
Oyaaa ni balaaa🔥🔥🔥🔥
Bei sh 140,000
Size 39-46
Phone: 0753909500
Nicheki chap tumalize biashara












































