MLINZI FEKI (@mtsonga12) header
MLINZI FEKI (@mtsonga12) profile picture

Mtoto wa mtaani. Chelsea Fan. Real Madrid.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2025
Photo by MLINZI FEKI (@mtsonga12)Photo by MLINZI FEKI (@mtsonga12)Photo by MLINZI FEKI (@mtsonga12)Photo by MLINZI FEKI (@mtsonga12)Photo by MLINZI FEKI (@mtsonga12)Photo by MLINZI FEKI (@mtsonga12)Photo by MLINZI FEKI (@mtsonga12)Photo by MLINZI FEKI (@mtsonga12)Photo by MLINZI FEKI (@mtsonga12)Photo by MLINZI FEKI (@mtsonga12)
WANANGU, Tuwe busy tupambanie maisha yetu, wao ajira zao zipo ndani ya nguo zao wengi wao, sisi ajira zetu zipo ndani ya jasho letu mpaka mwisho Mwanangu. TUWE BIZEE.
8
24
48
2,148
MLINZI FEKI retweeted
Watu wanaweza kukutia moyo, lakini hawataweza kubeba ndoto zako. Nguvu ya kweli iko ndani yako katika nidhamu yako, maamuzi yako, na hatua zako za kila siku. Kuna siku utachoka, utapoteza hamasa… lakini hapo ndipo unapotakiwa kuendelea zaidi. Kwa sababu hakuna mtu atakayekutaka ushinde kama wewe unavyotakiwa kutaka kushinda.
1
3
5
144
Mtu akiambiwa achugue kimoja wapo kati ya Ajira na biashara wengi huwa wanakimbilia ajira ila kiufupi ajira huwa zinakuwa ni ngumu Biashara inakupa uhuru wa kuishi
23
24
3
154
5,739
Nirudi tu session. 😂😭
1
1
2
97
MLINZI FEKI retweeted
Wakati wao wanatoa chafu wavae safi waende makazini, sisi tunatoa safi ili tuvae chafu nasi pia tuingie kazini.. katika hayo yote kamwe usichukulie poa mahali unapatia Ridhki✍.
12
10
23
468
MLINZI FEKI retweeted
Hii ikijengwa na serikali inaweza kuwa bei gani?😀
60
31
2
152
11,107
MLINZI FEKI retweeted
Mungu atuweke mbali na matatizo ambayo pesa haiwezi kutatua Gm famili Kumekucha tena 🤝🤝
24
19
45
1,063
MLINZI FEKI retweeted
Ivi serikali ikataka kupunguza umaskini kwa wananchi wa nchi yake ifanye kipi ambacho kitasaidi👇 1️⃣Kuongeza mishahara kwa waajiriwa? 2️⃣kuwapa wananchi mitaji? 2️⃣au kuwaandalia masoko na sehemu nzuri ya Kufanyia biashara?
19
20
49
1,769
MLINZI FEKI retweeted
Jifunze kutoka kwa watu wenye uzoefu halisi,makovu halisi na matokeo halisi ya kuonesha!!📚🗝️
2
23
54
914
Niliiona kabisa na bado akasema tuache tufanye kesho ila wanawake.😂
1
1
3
43
MLINZI FEKI retweeted
Kadri unavyowekeza katika kujifunza ujuzi wa ulimwengu halisi,ndivyo mustakabali wako unavyokuwa imara zaidi!!📚🗝️
9
23
76
1,362
Haso zetu zikajipe familia. 🙏 Good morning GOD's people. ❤
15
12
20
207
MLINZI FEKI retweeted
Usiruhusu Uaminifu Wako Uwe Utumwa.Ikiwa Hawathamini Kile Unacholeta Mezani,Waache Wale Peke Yao.📌
7
13
1
25
2,779
MLINZI FEKI retweeted
kukosea ni hatua ya kwanza kwenye safari ya mafanikio
1
1
3
32
Good Morning God's People.!
4
2
5
84
Kwa intelijensia yangu Hakuna anae soma masomo ya art afu apate Mathematics C
109
30
8
684
70,971
Nimeona Video zinatrend Golikipa wa yanga Diarra kavaa shanga na mchezaji wa simba nae anashanga wote hao wanatokea ukanda wa MAGHARIBI wengine wanasema ile AI wengine wanasema watu wa magharibi ni tamaduni zao yaani ile kama kinga kwa asili yao sjui ni kweli?
6
14
102
8,386
Hakuna kitu kigumu kama kumuelekeza mtu alie kariri, amefundishwa panzi ana miguu 4 unazani ataelewa. Tunakwambia mtu kwenda advance ni kupoteza muda unasema unamharibia mtu ndoto yake haya wewe ulikuwa na ndoto za upairoti leo uko wapi Alafu kuanzia lini watoto wa wana Vision
17
24
109
5,568
Kuna mdau wangu alikataa 4M kwenye kampuni akaamua kuchagua 1.2M ya serikali jamaa nilimuona kama hayuko sawa basi yaani uchukue pesa kidogo hiyo
46
29
3
667
58,956