MLINZI FEKI retweeted
Watu wanaweza kukutia moyo, lakini hawataweza kubeba ndoto zako.
Nguvu ya kweli iko ndani yako katika nidhamu yako, maamuzi yako, na hatua zako za kila siku.
Kuna siku utachoka, utapoteza hamasaโฆ lakini hapo ndipo unapotakiwa kuendelea zaidi.
Kwa sababu hakuna mtu atakayekutaka ushinde kama wewe unavyotakiwa kutaka kushinda.
MLINZI FEKI retweeted
Mtu akiambiwa achugue kimoja wapo kati ya Ajira na biashara wengi huwa wanakimbilia ajira ila kiufupi ajira huwa zinakuwa ni ngumu Biashara inakupa uhuru wa kuishi
MLINZI FEKI retweeted
Wakati wao wanatoa chafu wavae safi waende makazini, sisi tunatoa safi ili tuvae chafu nasi pia tuingie kazini.. katika hayo yote kamwe usichukulie poa mahali unapatia Ridhkiโ.
MLINZI FEKI retweeted
Mungu atuweke mbali na matatizo ambayo pesa haiwezi kutatua
Gm famili
Kumekucha tena ๐ค๐ค
MLINZI FEKI retweeted
Ivi serikali ikataka kupunguza umaskini kwa wananchi wa nchi yake ifanye kipi ambacho kitasaidi๐
1๏ธโฃKuongeza mishahara kwa waajiriwa?
2๏ธโฃkuwapa wananchi mitaji?
2๏ธโฃau kuwaandalia masoko na sehemu nzuri ya Kufanyia biashara?
MLINZI FEKI retweeted
Usiruhusu Uaminifu Wako Uwe Utumwa.Ikiwa Hawathamini Kile Unacholeta Mezani,Waache Wale Peke Yao.๐
MLINZI FEKI retweeted
Nimeona Video zinatrend Golikipa wa yanga Diarra kavaa shanga na mchezaji wa simba nae anashanga wote hao wanatokea ukanda wa MAGHARIBI wengine wanasema ile AI wengine wanasema watu wa magharibi ni tamaduni zao yaani ile kama kinga kwa asili yao sjui ni kweli?
MLINZI FEKI retweeted
Hakuna kitu kigumu kama kumuelekeza mtu alie kariri, amefundishwa panzi ana miguu 4 unazani ataelewa.
Tunakwambia mtu kwenda advance ni kupoteza muda unasema unamharibia mtu ndoto yake haya wewe ulikuwa na ndoto za upairoti leo uko wapi
Alafu kuanzia lini watoto wa wana Vision
MLINZI FEKI retweeted
Kuna mdau wangu alikataa 4M kwenye kampuni akaamua kuchagua 1.2M ya serikali jamaa nilimuona kama hayuko sawa basi yaani uchukue pesa kidogo hiyo
MLINZI FEKI retweeted
Twitter ndio sehemu pekee inafanya watu wenye vitambi waonekane hawana akili Timamu...
MLINZI FEKI retweeted
"Boss yupo bize labda niachie mimi iyo CV itanisaidia kufungia Chapati"
๐๐๐






















