Sir Baita (@paulbaita) header
Sir Baita (@paulbaita) profile picture

Physics Teacher | Bitcoiner | Optimistic investor.

Tanzania
Joined February 2024
Photo by Sir Baita (@paulbaita)Photo by Sir Baita (@paulbaita)Photo by Sir Baita (@paulbaita)Photo by Sir Baita (@paulbaita)Photo by Sir Baita (@paulbaita)Photo by Sir Baita (@paulbaita)Photo by Sir Baita (@paulbaita)Photo by Sir Baita (@paulbaita)Photo by Sir Baita (@paulbaita)Photo by Sir Baita (@paulbaita)
Little is not same as empty..!! Kufikia 2030, share moja ya CRDB usishangae ikiwa TZS 15,000.
1
5
145
Dadekiiii, Nchi imevimba……. Watanzania kila mmoja wetu akijitoa kutetea na kudai haki kama hivi basi TUTASHINDA HII VITA DHIDI YA WAUWAJI WANAOSHIKILIA NCHI KWA KUTUMIA JESHI LA POLISI……. Kama uko Tz na huwezi kujitoa kwa jina lako basi anzisha page anonymous ya kudai haki kwenye mitandao ya Instagram, tiktok na Facebook. Kama uko nje ya Tanzania tafadhali tumia jina lako na sura yako mwenyewe, account zenye mtu anaonyesha sura yake ndio zinashawishi wananchi kiurahisi zaidi kuliko account zisizo na mtu anaejulikana. Nawaomba haswa diaspora wote tuwe wanaharakati tunaoweka sura zetu kwenye page. Hii ndio njia effective tunaweza kuwasaidia wenzetu nyumbani wapate uhuru wao kutoka kwa WAKOLONI WEUSI!!!! WAKOLONI WEUSI NI WAKATILI KWA WATANZANIA KULIKO WAKOLONI WEUPE WALIVYOKUWA WAKATILI KWA KINA NYERERE….
6
143
806
29,535
Ungana nasi kwenye X Space Maalum kuanzia saa 2:00 usiku kujadili utekaji na upotezaji wa Polepole na Watanzania wengine ndani na nje ya nchi unaohusishwa na vyombo vya dola chini ya serikali ya Samia. Ikiwa una ndugu aliyepotezwa, karibu utoe ushuhuda wako kwa ufupi. Tanzania si salama tena—wahusika kama Wambura, Mombo, Makonda, Murilo, Mafwele, Mahita na Kingai wanapandishwa vyeo badala ya kuwajibishwa. #FreePolepole #ChangeTanzania #TanzaniaNotSafe
1
15
50
921
Sir Baita retweeted
CHAMA kimetangaza LISSU awe huru ili aongoze hayo wanayoita "MARIDHIANO". Kuna kundi la watu wanaojiita VIONGOZI wa CDM wanataka CHAMA kiende kwenye MARIDHIANO bila LISSU. Hii inamaanisha kuna viongozi wa CDM wanafaidika na LISSU kuwa ndani. Hasa hawa wanaotaka MARIDHIANO bila LISSU kuwa nje.
12
55
437
11,221
Sisi Waislam tunao viongozi wanaojua haki na wanaoweka ukweli na uwazi mbele sio wale wa masheikh ubwabwa wa BAKWATA…:.
Angalau sasa kila mmoja ana machungu, nadhani wakati wa ukombozi umefika. Sikiliza hii...!
11
72
391
15,609
600 pips up Xauusd Tuesday Honored me❤
DAY= Wednesday Session: New York Strategy= ____ Pair= GOLD Total Lot= 1 Pips collected= 300 Done✅
1
5
1
37
1,365
Sir Baita retweeted
Usipitwe na Makala hii maalum hakikisha unaenda YouTube na kusubcribe Mwanzo TV Plus na Mwanzo TV
4
94
336
8,229
Sir Baita retweeted
Mtandao wa #StarLink wa billionea Elon Musk sasa upo mataifa 30 kati ya 54 barani Africa. mtandao pekee usio na kipengele duniani internet ya uhakika hata maeneo ya porini na yasiyofikika kirahisi.
1
22
Sir Baita retweeted
Wakili TV this is not content at all Kama online TV owned na TLS inayoamini kwenye RULE OF LAW mnatakiwa kuleta content ambayo inajibu masuali muhimu ya uhusiano kati constitutional supremacy, Rule of Law and chilling effect on freedom of expression na shitaka la mshitakiwa
Ulinzi ukiwa umeimarishwa wakati Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uchaguzi wa CHADEMA, John Pambalu akiondolewa Mahakama ya Mkazi Kisutu ambapo kesi yake ya uhaini ilitarajiwa kutajwa mbele ya Hakimu Mashasha lakini hakuwepo mahakamani.
5
11
62
1,518
Mtandao wa #StarLink wa billionea Elon Musk sasa upo mataifa 30 kati ya 54 barani Africa. mtandao pekee usio na kipengele duniani internet ya uhakika hata maeneo ya porini na yasiyofikika kirahisi.
1
22
Sir Baita retweeted
Hii kauli ITAISHI sana vichwani mwetu.
3
128
766
7,319
Sir Baita retweeted
Mpumbavu kama KIGAILA eti leo anataka kutufundisha namna ya kudili na MASISIEMU.
19
35
1
284
7,642
Sir Baita retweeted
Mwenyekiti wetu Tundu Lissu amezishinda risasi 32 za ccm na dola.. Walitaka kumuua mwaka 2017 wakashindwa. Wamejaribu kumnyonga kwa kesi ya uhaini wa uongo wameshindwa. Wamemfunga kwa uchochezi wa uongo. Makaburu hawakuwahi kumpiga risasi Mandela wala kumuondolea ubunge wake. Wamlimfunga tu kwa mda mrefu na baadae alitoka. Historia ya Mwenyekiti Lissu itaandikwa kwa wino wa dhahabu, sio Raila wala Mandela amefanyiwa unyama na serikali kama ambao Mwenyekiti Lissu amefanyiwa na anaendelea kufanyiwa. Tutashinda na tutavuka.
50
389
6
1,466
21,546
Hata baada ya script kuvuja na wananchi kuambiwa bado yanapita mulemule kama manyumbu……. Watanzania msikubali huu ushenzi wa kimama kufosi mwenyekiti mpya apatikane Chadema ili Chadema ifanye nae maridhiano ya kishetani. Kama nilivyowaambia hii project ya Samia Suluhu na mwanae Abdul, wataanza kwanza hawa wasaliti ndani ya Chadema kudai mwenyekiti mpya alafu ndio msajili atatuma barua Chadema kuwa hawamtambui mwenyekiti wao na kwamba wawape jina na mwenyekiti mpya. Chadema, sisi wananchi tunaowaunga mkono tunawapeni ushauri huu, ni bora wauwaji wa October 29 waifute Chadema ila sio Chadema kumsaliti Lissu na Watanzania kwa kuwapa Samia na Kikwete Mwenyekiti mpya wanaemtaka ndani ya Chadema. Ni mara 100 Chadema ifutwe na dunia yote ione na nchi nzima waone chama kikuu cha upinzani kimefutwa na wauwaji wanaodhulumu haki kwenye nchi ila sio muwapigie magoti kwa kuwapa mwenyekiti mpya….. Chadema ikifutwa ndio itakuwa kama wamewapaka wananchi pilipili kwenye kudai haki….. PS: Nimesoma comments kwenye hii posti nimetokwa na machozi ya kuwa proud na Watanzania, aiseee Watanzania hamdanganywi tena na uhuni wa chama cha CCM…. Mko makini mpaka raha. Ila mngeacha basi kutolewa focus na drama za wasanii ndio tungekomboa nchi haraka zaidi. Yani sasa hivi changamoto iliyobaki kwenye kukomboa nchi ni kutolewa focus na wasanii na influencers wa Instagram. Tukilishinda hili la wasanii TUNATOBOA HARAKA SANA!!!!
Ushetani unaopangwa na wauwaji juu ya Lissu na Chadema……
38
156
5
882
54,790
Sir Baita retweeted
Our CTO, @victorthetravlr , visited the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) to discuss bringing Tanzania's capital markets on-chain. Our goal: to make it possible to buy both local stocks like CRDB and NMB, and international stocks like Apple and Tesla, in one app anytime, with any amount. Tokenized stocks are coming to Tanzania, or we could say.. already in Tanzania.
3
10
36
713
Sir Baita retweeted
Mwezi sasa MEDIA za bongo zinahoji "WASENGE" tuu ambao wanajiita wao ni wanaCHADEMA, wengine wanajiita VIONGOZI kabisa. Watu wa maana HAWAHOJIWI kabisa. Lakini napenda kusoma comments jinsi wabongo wanavyopika WASENGE🙌
6
68
524
10,257
Sir Baita retweeted
Mwanzilishi wa Microsoft, Meta, Apple, Oracle na giant companies kadhaa wote hawana degree za darasani. Degrees ni karatasi tu, nothing more..!
1
45
Wauwaji watajitoa akili ila huu ndio ukweli.
Take a moment na tumsikilize bongo zozo! Kuna madini matupu
3
123
946
40,380
Sir Baita retweeted
BREAKING: Senegal celebrates after Court of Arbitration for Sport reinstates their AFCON trophy, overturning CAF Appeal Board decision to award win to Morocco
⭐️18 janvier 2026 ⭐️ 24 novembre 2026
8
89
3
597
33,045
Our #AFCON2025 real vhampions are here as per CAS decisions..🏆
1
41
Sir Baita retweeted
🚨 OFFICIAL: CAS has ruled in favour of Senegal! The court has cancelled CAF’s Appeal Board decision and brought back the earlier decision by CAF’s Disciplinary Board. This means Senegal remain the winners of AFCON 2025 after beating Morocco 1-0 in the final. 🏆 Senegal are the champions! #AFCONwithMicky #AfricanFootball
57
87
15
545
18,557