kijana mpole (@BesteNicolas) header
kijana mpole (@BesteNicolas) profile picture

NOTHING SERIOUS HERE✍

Dar es Salaam, Tanzania
Joined January 2023
Photo by kijana mpole (@BesteNicolas)Photo by kijana mpole (@BesteNicolas)Photo by kijana mpole (@BesteNicolas)Photo by kijana mpole (@BesteNicolas)Photo by kijana mpole (@BesteNicolas)Photo by kijana mpole (@BesteNicolas)Photo by kijana mpole (@BesteNicolas)Photo by kijana mpole (@BesteNicolas)Photo by kijana mpole (@BesteNicolas)Photo by kijana mpole (@BesteNicolas)
IBRAAH HESHIMA NA SALUTE NYINGI Finally nimepata nafasi kusikiliza album ya IBRAAH ya 1B na kiukweli bado nipo kwenye shock. Album kikawaida huwa zina nyimbo 10 - 18, ila bwana CHINGA ameachia nyimbo 50 !! To give you context, longest albums TZ zilikuwa za Countrywizzy (YULE BOY - 30 songs) na Chindoman (KIJENGE JUU - 41 songs) na hao ni rappers. 🤯 Marekani Chris Brown aliwahi fanya kitu ka hiki; 2019 alitoa album ya INDIGO (42 songs) na ngoma zilisumbua hadi 2022 ambapo wimbo kama “Under The Influence” ndio ukaja ku-hit… 3 years later! Huo ni Uthubutu, Ujasiri na Nidhamu ya Kazi (work ethic) ya kiwango cha juu mno. Ila pia Uthibitisho wa Ukubwa wa Kipaji chake. Ukitoa Album ya nyimbo 15, ukawa na nyimbo 6 nzuri na hit 1 au 2, tunasema album kali.  Sasa LAMINE YAMAL aka MBEBA LAWAMA, album yake (kwa sikio langu) nyimbo takriban 38 nzuri, na aki market & promote vizuri kuna hits zaidi ya 15!! Na hapo nimejitahidi ku-judge kiunoko, maana hizo 12 songs sijazipenda sio kuwa ni mbaya, bali Maudhui, Utunzi na Sound zake zimekuwa redundant (zinajirudia rudia) ILA ukimpa Msanii mwingine ANATOBOA! Ibraah amerithi Work Ethic kutoka kwa Harmonize, ambae nae alirithi kwa Diamond. Babu na Baba yake wa kimuziki now wame focus kwenye show off na vibweka zaidi, so ni fursa ya Ibraah kuchukua mikoba na ame take advantage vilivyo na album hii. PENMANSHIP: Utunzi wa Mashairi ni wa kiwango na kiufundi. He is philosophical, direct, stylistic, retrospective. but the lyricism & rhyme pattern ni ya juu kuliko hata baadhi ya Rappers. VERSATILITY: Ameonyesha uwezo wake wa ku-adapt ni many styles. Album ina Koumpa, Zouk, Afro-house, Afro-piano, Singeli, Traditional bongoflava.  PRODUCTION: Utayarishaji ni wa moto. Production za Tongwe Records, Mix & Mastering (Laizer), King Pallazo (Mwehu Touch meets Chizi Chinga), Ammy Beats (The bassline in “Bet”  is sick bro 🤯🔥), Master Keys (“Siyawezi” is an instant classic bro).  NUANCES: Selection ya features iko on point; rappers wote wame Deliver (Lunya ka disappoint kidogo 😔) na kwa Waimbaji, Yammy katisha sana (Ila Phina 6/7). Na pia Background Vocalists wametendea haki project. Na pia vionjo, vibwagizo (adlibs) vya Chinga vimetawala na vimependeza sana “Oyaa Wee”, “Ma Gang Gang”, “Wa Milembe”, “Chizi”, “Naimba tena Mapeeenzi”.  VOCAL PERFORMANCE: Vocally amekuwa consistent ingawa kuna some places he was flat & generic. Ila ame compensate hiyo kwa ku-deliver the Right Amount of Emotions respectively on each song. Yaani ukisikia analalamika unamuamini.  Pia nimependa the “Minimalist Approach” maana haja over-sing kabisa bila sababu. RELATABILITY & SUBSTANCE: Amefanikiwa to address mapenzi kwa pande zote mbili (Chungu na Tamu). Ingawa nadhani ametisha zaidi upande wa Chungu (“Siyawezi”, “Siko Nae”, “Tumeachana”).  Ila “Imani” is also a standout ya other side.  Pia ametisha sana ku address issue ya MO29 in “Mabomu”. HESHIMA SANA. Ujue as an artist sio lazima utoe wimbo kutukana Serikali, ila unaweza tu artistically ukaongelea issue kwa juxtaposition na ujumbe ukafika.  Post moja haitoshi kuzungumzia hii project, nitarudi na VIDEO…  Ibraah Hongera sana, na asante kwa kufanya na kutupa Muziki. Naomba ubaki huko huko kwenye muziki, usitumike kwa kiki hasa na walikwaa kisiki kipindi hiki. Tutajadili The Leader  #SupportYourOwn #Workethic #BeberuReviews
34
119
6
834
32,028
kijana mpole retweeted
🇦🇿 Born in Azerbaijan. Building in Germany 🇩🇪 I’m an indie maker building AI apps from scratch. No big team. No investors. Just ambition, code and coffee. Sharing my journey, real numbers, failures and small wins. If you’re into AI, startups or building in public, let’s connect!
27
46
1
867
119,669
🎈🎉
80
85
11
203
9,354
kijana mpole retweeted
KIDUKU OFSA NGIRI I'm Back 🔥🙌 Shukrani Sana Brother @capitanpapilon REPOST 200 🤝
30
60
4
341
9,984
Yani siku mie nikienda South Africa I wish to try ile Culinary Cruiser 🥹❤️then niende hotel moja hivi iko Mpumalanga nikampe mchumba wangu kitumbua 🫠🥂
45
12
5
198
13,795
Mtu unaenda kushikwa shikwa kuma na wanaume tofauti tofauti kisa castle lite za bure only for them to find out unanuka uchi ndo unifungulie mimi space kisa nacomplainia furniture za 2.6M nlizotolea hela yangu?! Hivi mnakuaga timamu kweli nyie?!😂
26
27
1
269
19,486
kijana mpole retweeted
Usitoe ili uonekane mwema, toa kwa sababu moyo wako umejifunza kuwa mwema.🚶‍♀️
16
100
502
11,162
Good morning bosses 🙏 Alhamdulilah siku nyingine ya kujitafuta Fr 1 Pinterest Fr 2,3,4 tulichotoa BUBBLE BED SOFA 850,000 📍 Tunapatikana Ubungo Msewe. 🚚DELIVERY IPOOO! 📞 Call/WhatsApp: 0710 398 946 KARIBUNI SANA, BOSSES! 🙏 – at Dar es Salaam, Tanzania
41
119
9
223
33,828
#TajiriLaKihaya Na huu ndio Msimamo wetu CHADEMA💯 Maridhiano tunayataka Ila kwanza Mwenyekiti wetu Atoke…
34
121
4
884
17,153
Bwana yesu Asifiwe 🥂
30
26
5
200
8,953
Wanaume ni wale wale tu hasa ikifika sehemu anataka kuichapa wanakuwa watakatifu sana kwenye hicho kipengele😂😂
65
50
7
304
15,407
kijana mpole retweeted
33
14
4
370
98,503
Leo arsenal akifugwa nitaonyesha manyonyo yangu🤔
35
30
5
139
7,415
Wasanii wenu wanakuja na bonge la kampeni la Afcon. Na wimbo wamefanya kwa kutumia pesa za walipa kodi. Wasanii wenu na influencers ndio wanaenda kutumia kuitoa nchi nzima kwenye reli kwa kuitumia Afcon ili huku nyuma wauwaji waendelee kujimilikisha nchi…. Tusikubali kufanywa wajinga na wasanii kwenye hii AFCON.
24
218
4
1,192
46,837
DEO NDEJEBI ndio Plan B ya Samia Suluhu na Jakaya Kikwete…… Tusiite Afcon, tuiite AFCON YA WAUWAJI na wa Africa wenzetu wanaopanga kuja Tz tuwaambie wanakuja kusapoti mauaji ya Waafrica wenzao kupitia sports washing
Wauwaji wanataka kupitisha katiba iliyopendekezwa na CCM 2015 kwenye ile tume ya katiba mpya……. Samia, Kikwete, Wambura, Mombo na Haji Othman (Chief of staff jeshi la wananchi) wanataka kujimilikisha nchi for the next 15 years.
29
276
6
1,485
88,290
Nasisitiza kumpuuza Samia Suluhu na maridhiano yake ya mchongo….. Si nikajisahau nimepaki kwenye red zone alafu nikaaa hapo zaidi ya 30 mins, Ila kanielewa kuwa nimechanganyikiwa na kupigania haki za Watanzania waliouwa October 29 mpaka sikuona nimepaki kwenye red zone, akanipa badala ya ticket ya fine ya $70. Tunapigania haki popote pale.
33
194
3
1,327
70,821
Now nimeelewa Kwanini watu wengi waaamuaga kupotea na kwenda mbali na kuanza upya🤦Napitia wakati mgumu sana now 💔
118
96
10
791
26,088
kijana mpole retweeted
Huyu Binti anaomba kazi, binafsi namjua kidogo ila anatabia nzuri pia anaonekana ana nidhamu nzuri ashawahi kufanya kazi ya kuuza vifaa vya muziki na kuuza nguo za watoto ana elimu ya kidato cha nne. Naomba repost yako hapa apate kazi.🙏
58
231
3
992
39,513
kijana mpole retweeted
Hakuna mwanamke hapa X anajieleza vizuri na ana sauti nzuri kwenye space Kama Koku!
35
38
8
117
26,133
#TajiriLaKihaya Kwa wale mnafuatilia SIASA za KENYA mtakubaliana na mm kwamba… SIFUNA anapendwa saana na vijana wa mitandaoni…. Bahati mbaya saana RUTO anapendwa na Wapiga Kura! Sifuna hata wapinzani wenzake hawamuamini…na yeye mwenyewe Hajiamini! Sidhani Kama Upinzani watampa Ticket ya kuwania Urais… Maana wakifanya hivyo,Ruto atashinda saa moja kamili asubuhi!
71
21
6
228
15,174