Pinned Tweet
Replying to @godbless_lema
@godbless_lema akili kama hii ndiyo ulitaka itoke jela kwa strategies engagement?
Unaweza kukubaliana na Lissu au kumpinga, lakini huwezi kupuuza misimamo yake. Je, misimamo yake ni nguvu ya mabadiliko au chanzo cha migogoro ndani ya chama na nchi kwa ujumla? 🧐
mikato_kuntu retweeted
Kuna mwanaume amekuwa akimpa mke wake mshahara wake wote kwa miaka 8. Lakini cha ajabu, mke wake hajawahi kumuuliza mshahara wake unaishia wapi wala anabakiwa na kiasi gani. Siku moja rafiki yake alimuuliza siri ya ndoa yao. Jibu lake lilikuwa la kushangaza...
mikato_kuntu retweeted
Hata kama wakikutana na kugawana posho ukweli utabaki:
1. Baraza hilo la vyama ni kibaraka wa CCM na watawala.
2. Vyama hivyo vilihongwa kushiriki uchaguzi na kutangaza ulikuwa huru na haki.
3. Havina uungwaji mkono ndani ya jamii.
4. Upinzani upo ktk mioyo ya watu.
mikato_kuntu retweeted
Ila niwaambie wale washirika wa Samia na Abdul - ACHENI kushirikiana
Hawa watu wana laana kubwa!
Twaha alikuwa ana madhara gani kwa kiongozi halali?
Sisi hatutachoka kumpazia sauti ndugu zetu
#FreeTwahaMwaipaya
Mwanaume anatakiwa kuwa na uwezo wa kumhudumia mwanamke, lakini siyo kufikia hatua ya kununua hisia zake.
Je, kuna tofauti gani kati ya kuhudumia na kununua mapenzi? 🤔
3
6
240
mikato_kuntu retweeted
Fundi TANESCO Katika Maridhiano ya vyama briefcase..Hawa ndo walikua kitengo cha kukata umeme MO29
mikato_kuntu retweeted
samia suluhu hassan’s “national dialogue” with 16 opposition parties that couldn’t scrape 2% between them is pure theatre. She took 97.66% after locking up the actual opposition leader @TunduALissu (now serving 4 years) and disqualifying CHADEMA.
Those parties don’t speak for the voters and never have. Real reconciliation starts with releasing the man who actually represents the opposition, not posing with the ones who don’t.
#TanzaniaMassacre #FreeTunduLissu #Tanzania
Katika azma ya kuendelea kuimarisha umoja na mshikamano wa kitaifa, pamoja na kujenga uelewa na uamuzi wa pamoja kuhusu masuala ya nchi yetu, leo nimekutana na kufanya mazungumzo na Wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Tumekuwa na mazungumzo yenye tija kuhusu namna bora ya kusonga mbele katika mchakato wa Maridhiano na hatimaye Marekebisho ya Katiba, kwa kuzingatia maslahi mapana ya Taifa letu.
mikato_kuntu retweeted
Mkuu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu sana; bali achukiaye kutamani ataongeza siku zake~ Mithali 28:16
mikato_kuntu retweeted
Katiba anayoiongelea kimama na Katiba mpya mnayoiongelea Watanzania, utofauti wake ni usiku na mchana……
mikato_kuntu retweeted
Wakuu mademu wenye matako makubwa wabaya na wabovu sana kwenye shughuri..
Sijui ushamba wangu wa kinyasaaa.

































