COSMASI MBABA (@CosimasMbaba) header
COSMASI MBABA (@CosimasMbaba) profile picture

Msemaji wa Manchester City TZ🔥🔥

Joined March 2025
Photo by COSMASI MBABA (@CosimasMbaba)Photo by COSMASI MBABA (@CosimasMbaba)Photo by COSMASI MBABA (@CosimasMbaba)Photo by COSMASI MBABA (@CosimasMbaba)Photo by COSMASI MBABA (@CosimasMbaba)Photo by COSMASI MBABA (@CosimasMbaba)Photo by COSMASI MBABA (@CosimasMbaba)Photo by COSMASI MBABA (@CosimasMbaba)Photo by COSMASI MBABA (@CosimasMbaba)Photo by COSMASI MBABA (@CosimasMbaba)
Arsenal tuendelee kuwakumbusha au tuwaache?😁
167
62
24
1,197
79,663
Baada ya kifo cha Broo hata mwezi haukuisha Meji akafumaniwa na mshikaji kwenye nyumba aliyojenga Broo. Na mpaka kufikia leo tayari amesha olewa na anamtoto na ndoa juu. Ikumbukwe alikuwa na ndoa pia na marehemu na watoto pia. BINAFSI NIMENAWA MIKONO JUU YA JINSIA HII YA (KE)
1
1
55
Umeingia zako job saa 12 asubuhi, Cm ina charge 100%. Unatoka ina 98% ukiwa hujui chochote kinacho endelea huko online. Unawasha data unakutana na vijana wanashangilia connection ya Mama, Dada au Mdogo wako😪 Kiukweli inaumiza sana. Cheka sana ila usiombe haya mambo yakukute.
1
3
5
130
Mtu anaambiwa tairi la gari lake la upande wa kushoto halina upepo , anamtukana anayempa taarifa ,kuna watu hamnazoo 🚮
1
4
14
241
COSMASI MBABA retweeted
Eliminyo sidhan Kama ipo😂
6
46
922
54,125
COSMASI MBABA retweeted
Kitu chochote chenye thamani kubwa ni lazima kikupotezee amani au maisha yako
4
16
279
COSMASI MBABA retweeted
Huyu Binti anaomba kazi, binafsi namjua kidogo ila anatabia nzuri pia anaonekana ana nidhamu nzuri ashawahi kufanya kazi ya kuuza vifaa vya muziki na kuuza nguo za watoto ana elimu ya kidato cha nne. Naomba repost yako hapa apate kazi.🙏
58
233
4
990
36,528
Siku yetu ya wanaume haikuwa na mbwembwe nyingi na imeisha kiume💪 Sasa ngoja ifike siku yao 😁
2
72
Leo kulala mwenyewe No.
7
6
2
63
10,756
COSMASI MBABA retweeted
Saiv hamgusi tweet zangu yaan kama hamnijui😮‍💨😮‍💨😂😂💔💔
36
52
4
149
5,549
Unajua matumizi ya Toilet paper ama nikupe somo familia.?
3
4
22
499
COSMASI MBABA retweeted
Huyu bidada kipindi anaanza miziki alionekana ana potential kubwa sana sijui amefeli wapi hadi consistency imeshuka.
15
18
99
3,038
COSMASI MBABA retweeted
Mambo mengi watu wanayokutendea ni wewe umeruhusu. Mtu hawezi kukuvunjia heshima yako kama wewe hujamruhusu. Jiheshimu na wewe utaheshimika
2
11
32
1,422
COSMASI MBABA retweeted
Hii ndio connection ya hovyo kuwahi kutokea mwaka 2026.
31
17
2
197
55,717
COSMASI MBABA retweeted
Uhalisia unabomolewa,Kwa kutaka kuwa kama mtu mwingine.
5
1
11
324
COSMASI MBABA retweeted
😂😂😂
1
2
12
536
Binafsi pisi ikija magetoni hua silali labda yeye ndio alale na vilevile hata nikienda kwenye geto la demi mimi silali labda yeye ndio alale kwanza sipatagi usingizi😄
Olise akiwa crystal palace 😂
1
3
94
COSMASI MBABA retweeted
Movie za kibongo ikiwa inaanza yanaoneshwa maghorofa ya posta kwa juu ila scene za movie ikianza wanaonesha imechezewa nyumba za uswahilini ,huwa wanamaana gani kuonesha majengo ya posta😁😁
1
10
1
20
548
COSMASI MBABA retweeted
Mpaka saivi maparod yapo kwani nisije nikajichanganya huko Dm😮‍💨😮‍💨😁😁
3
12
22
566
COSMASI MBABA retweeted
Unaweza kupata wanawake wengi sana wa bure shida unachagua ambao unawapenda na hawakupendi😮‍💨😮‍💨💔
1
7
2
29
680
COSMASI MBABA retweeted
Hii video mmeiona ya huyu jamaa muosha magari hapo mlandizi😅😅
73
53
4
540
77,814