
My circle so small, stick to my script and just ball. Manchester United is my lifetime partner #GodWillRise @NipseyHussle Marathon continues..๐
Mwanza, Tanzania
Joined March 2023
- Tweets16.4K
- Following748
- Followers915
- Likes64.2K
Eddie Jr retweeted
SIKU YA AIBU KWA UTAWALA WA SHERIA!
Sisi ni nchi inayofuata mfumo wa Common Law, siyo mfumo wa Civil Law Katika mfumo wetu, Mahakama ni mwamuzi huru na asiyeegemea upande wowote (impartial adjudicator), siyo mpelelezi, siyo mwendesha mashtaka, wala siyo mtunga mashtaka.
Lakini kwa hali ya kushangaza, leo tunakutana na Mahakama inayochukua majukumu yote kwa wakati mmoja: inaandaa shtaka (charge), inafanya uchunguzi, inaendesha mashtaka, inakusanya ushahidi, inabaini kosa, inamkuta mtuhumiwa na hatimaye kumhukumu, bila kumpa nafasi ya kusikilizwa ipasavyo.
Huu siyo utendaji wa Mahakama inayosimamia haki. Huu ni kuvuruga misingi ya haki asilia (Principles of Natural Justice), haki ya kusikilizwa (Right to be Heard) na kanuni ya kutokuwa hakimu katika shauri lako mwenyewe (Nemo Judex in Causa Sua).
Mahakama haiwezi kuwa mlalamikaji, mpelelezi, mwendesha mashtaka na hakimu kwa wakati mmoja.
Hata kama ni kosa dogo lazima liwe cognate offence yaani kosa linaloendana au kuhusiana na kosa analoshtakiwa. Naliwe sehemu ya shitaka na ushahidi utolewe kuhusu hilo na mtuhumiwa ajitetee.
Na pia ni Kanuni za Msingi katika Taifa letu kwamba kunapokuwa na adhabu ya Kigungo na Faini au vyote kwa pamoja ni lazima uanze kwanza na adhabu ya faini akishindwa kinafuata kifungo. HII NI AIBU KUBWA.
Kazi ya Mahakama ni kutenda haki kwa kusikiliza pande zote kwa usawa, siyo kutafuta au kubuni njia za kumtia mtu hatiani.
Tunapofika hapa, tunakuwa hatujadili tena hatima ya mtuhumiwa mmoja tu; tunajadili uhai wa utawala wa sheria katika nchi yetu.
UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI NDIVYO VITALIPONYA TAIFA!
BAK MWABUKUSI
Eddie Jr retweeted
Kwa mnaosubiria video kutoka kwangu leo, msisubiri.
Nimeona nijipe muda, moyo wangu upoe kidogo na maumivu yaliyo rohoni mwangu yastahamilike kidogo la sivyo hakuna la maana nitakaloongea zaidi ya kuwamwagia machozi mwanzo hadi mwisho wa videoโฆ..
Eddie Jr retweeted
Leo Media zote kubwa huko Duniani mjadala ni Hukumu ya Mhe. Lissu.
Kazi nzuri wakili msomi @TitoMagoti
VIDEO:
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa njia na jaribu ambalo chama hicho kinapitia sasa ni mpango wa Mungu na kwamba hatimaye watashinda.
Heche ameyasema hayo mkoani Dar es Salaam mara baada ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Tundu Antiphas Lissu, kuhukumiwa na Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, kutumikia miaka minne jela kwa kosa la uchochezi.
Heche amefananisha mtihani unaokikabili chama hicho na kisa cha Waisraeli walivyokabiliwa na jeshi la Farao wakiwa wamezingirwa na bahari pamoja na milima huku akiwashukuru kwa dhati wanachama wa CHADEMA kwa ustahimilivu waliouonesha kwa kipindi cha mwaka mmoja na miezi saba ambacho Mwenyekiti Tundu Lissu alikuwa mahabusu gerezani.
VIDEO:
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amewataka wanachama wa chama hicho na Watanzania kuendelea kusimama imara bila kumpigia magoti mtu, akisisitiza kuwa mapito wanayopitia ni njia ambayo Mungu mwenyewe amewachagulia na kwamba mwisho wake ni ushindi wa haraka.
Heche ameyasema hayo mkoani Dar es Salaam mara baada ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Tundu Antiphas Lissu, kuhukumiwa na Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, kutumikia miaka minne jela kwa kosa la uchochezi.
โNa mimi nawaambia Wanachadema, wale waliokuwa wanatuambia tupige magoti, Mwenyekiti wetu amesema hakuna kupiga magoti, na mimi nataka niwaambie, Kamati Kuu yetu na uongozi wetu chini ya Katibu Mkuu tuli naye, na mimi hakuna kupiga magoti kwenye uongo. Hakuna kupiga magoti!โ, ameeleza Heche.
Eddie Jr retweeted
Nadhani title ya 'Baba wa Taifa' iwe na ukomo (Iendane na generations), with all due respect.
Nyerere awe Baba wa Taifa kuanzia Uhuru hadi 1999.
2000 kuja huku mbele 'Baba wa Taifa' awe TAL (Anapigania uhuru wa vizazi vya sasa na vya baadae, singlehandedly).
Eddie Jr retweeted
Ile abadili yenu haifanyagi kazi kwenye mambo ya msingi au inasubiri mtu aibe viatu msikitini ndio asomewe ?
Eddie Jr retweeted
Wasaniii wote wa Tanzania KUMA LA MAMA ZENU mkiongozwa na Niffer โฆKumamayo mnatombwa wote.๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ
Eddie Jr retweeted
NDIO MAANA NAULIZA KUNA UMUHIMU GANI WAKUENDELEA KUWA NA WAGANGA AMBAO HAWAWEZI KUTIA MABUSHA WASENGE WOTE HAO kumanina zao.
Middle finger ๐๐พ to the government. ๐















