FOUR FOUR TWO GUYS (@_muhaj) header
FOUR FOUR TWO GUYS (@_muhaj) profile picture

.

Joined March 2016
FOUR FOUR TWO GUYS retweeted
True son of this Land.
39
2
203
1,765
FOUR FOUR TWO GUYS retweeted
SIKU YA AIBU KWA UTAWALA WA SHERIA! Sisi ni nchi inayofuata mfumo wa Common Law, siyo mfumo wa Civil Law Katika mfumo wetu, Mahakama ni mwamuzi huru na asiyeegemea upande wowote (impartial adjudicator), siyo mpelelezi, siyo mwendesha mashtaka, wala siyo mtunga mashtaka. Lakini kwa hali ya kushangaza, leo tunakutana na Mahakama inayochukua majukumu yote kwa wakati mmoja: inaandaa shtaka (charge), inafanya uchunguzi, inaendesha mashtaka, inakusanya ushahidi, inabaini kosa, inamkuta mtuhumiwa na hatimaye kumhukumu, bila kumpa nafasi ya kusikilizwa ipasavyo. Huu siyo utendaji wa Mahakama inayosimamia haki. Huu ni kuvuruga misingi ya haki asilia (Principles of Natural Justice), haki ya kusikilizwa (Right to be Heard) na kanuni ya kutokuwa hakimu katika shauri lako mwenyewe (Nemo Judex in Causa Sua). Mahakama haiwezi kuwa mlalamikaji, mpelelezi, mwendesha mashtaka na hakimu kwa wakati mmoja. Hata kama ni kosa dogo lazima liwe cognate offence yaani kosa linaloendana au kuhusiana na kosa analoshtakiwa. Naliwe sehemu ya shitaka na ushahidi utolewe kuhusu hilo na mtuhumiwa ajitetee. Na pia ni Kanuni za Msingi katika Taifa letu kwamba kunapokuwa na adhabu ya Kigungo na Faini au vyote kwa pamoja ni lazima uanze kwanza na adhabu ya faini akishindwa kinafuata kifungo. HII NI AIBU KUBWA. Kazi ya Mahakama ni kutenda haki kwa kusikiliza pande zote kwa usawa, siyo kutafuta au kubuni njia za kumtia mtu hatiani. Tunapofika hapa, tunakuwa hatujadili tena hatima ya mtuhumiwa mmoja tu; tunajadili uhai wa utawala wa sheria katika nchi yetu. UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI NDIVYO VITALIPONYA TAIFA! BAK MWABUKUSI
32
267
2
813
9,969
FOUR FOUR TWO GUYS retweeted
Hivi kwenye hii katiba mpya,nguvu za Rais zikipunguzwa zinapelekwa wapi??kwa hili Bunge linalojiongezea posho pamoja na nchi nzima kupinga??
57
216
30
562
Kwa mnaosubiria video kutoka kwangu leo, msisubiri. Nimeona nijipe muda, moyo wangu upoe kidogo na maumivu yaliyo rohoni mwangu yastahamilike kidogo la sivyo hakuna la maana nitakaloongea zaidi ya kuwamwagia machozi mwanzo hadi mwisho wa video…..
60
184
2
1,166
23,666
FOUR FOUR TWO GUYS retweeted
Unasoma vidato na vidato na vidato ili upate kazi upindishe HAKI za watu. Haya!
4
16
78
966
FOUR FOUR TWO GUYS retweeted
Leo Media zote kubwa huko Duniani mjadala ni Hukumu ya Mhe. Lissu. Kazi nzuri wakili msomi @TitoMagoti
8
171
1
864
13,773
FOUR FOUR TWO GUYS retweeted
Unashinda kesi na bado unakwenda jela kwa kesi nyingine waliyokushitukiza siku ya hukumu.
2
8
64
608
FOUR FOUR TWO GUYS retweeted
Mtu unafungwa kwa kesi ambayo huijui na hukupewa nafasi ya kujitetea!
3
14
1
60
755
FOUR FOUR TWO GUYS retweeted
Kama nlivyowaambia nitaanza kuwapostia nguo kali na za kisasa.. zinaboost AURA Leo nianze na location ya ofisi duka letu linaitwa TEN BELOW (umo ndani zipo nguo adi za elfu tatu 😂) Tunauza nguo unisex alafu ni casual Duka letu linapatikana SINZA MORI KARIBU NA WANYAMA HOTEL
8
33
2
43
1,190
FOUR FOUR TWO GUYS retweeted
Sema ile honestly wazazi waliomlea TAL lazima watakua walikua smart sana, kulea kichwa kama kile na ule uthubutu + confidence sio mchezo. #TAL #NOVEMBER6th2026
11
16
171
4,074
FOUR FOUR TWO GUYS retweeted
Mungu awaponye wote waliovunjika moyo leo 💔. Type Amiin 🙏.
4
11
36
307
FOUR FOUR TWO GUYS retweeted
Tumethibisha kweli Ng’ombe hukuiba; Lakini tunahisi uliiba kuku…haiwezekani hukuiba chochote wewe
9
38
5
192
5,286
FOUR FOUR TWO GUYS retweeted
Replying to @_muhaj
Nimekuwa nikiwaambia watu hili,nyerere hakuwahi kuipigania Tanganyika kwenye hizi heights amefika lissu
1
1
1
202
True.
Replying to @_muhaj
Nimekuwa nikiwaambia watu hili,nyerere hakuwahi kuipigania Tanganyika kwenye hizi heights amefika lissu
1
130
FOUR FOUR TWO GUYS retweeted
fuck samia
100
158
154
318
FOUR FOUR TWO GUYS retweeted
Bila katiba Mpya wazee hatutoboi kwenye hili Taifa
5
15
86
1,166
FOUR FOUR TWO GUYS retweeted
Ilaaniwe tumbo iliyo mzaa WAKILI WA SERIKALI LAANA IWE JUU YA JAJI DASTAN NDUNGURU NA KIZAZI CHAKE CHOTE MPAKA KIHAMA.. haiwezekani mtu mkaenae siku 577 Halafu leo unakuja kusema kosa lake ni uchochezi means kama kesi ingeendelea basi lissu kwa muda wote angekuwa uraiami mpka leo
4
37
1
211
2,642
FOUR FOUR TWO GUYS retweeted
Unamshitaki mtu kwa kosa moja unamshikilia na kuendesha kesi akijitetea kwa kosa hilo, inathibitika hana hatia; anashinda. Unaamua kumuhukumu na adhabu kwa kosa lingine ambalo hajashitakiwa. Mfumo wa haki-jinai umeoza na unaweka mfano (precedence) mbaya mno.
1
24
1
58
1,195
This.
huyu mzee amebakisha vitu vichache sana kuwa the father of Modern Tanzania,,, I feel like in some way, Nyerere hakukumbana na changamoto kubwa hivi in his prime,,, and here we have Lissu been performing at this level for almost 30 yrs!
2
139
FOUR FOUR TWO GUYS retweeted
I will never understand people who are politically neutral aisee, hiyo ni simply refusing to stand up for what matters. NI UPUMBAVU NA UOGA WA KIJINGA UMEWAJAA. Usinijie mimi ukaniambia you’re politically neutral ntakuzaba kofi.
21
69
1
252
3,168