Pinned Tweet
Naomba ijulikane hivi nimekuwa nikifuatilia mambo ya siasa kwa zaidi ya mika 17 sasa sikuwahi kumiliki kadi ya chama yoyote nimeshawishika kupata kadi ya @ChademaTZ2 kama mwanachama hai naombeni mnisaidie jinsi ya kupata kadi...
kharry_de_prince retweeted
Kwa mnaosubiria video kutoka kwangu leo, msisubiri.
Nimeona nijipe muda, moyo wangu upoe kidogo na maumivu yaliyo rohoni mwangu yastahamilike kidogo la sivyo hakuna la maana nitakaloongea zaidi ya kuwamwagia machozi mwanzo hadi mwisho wa video…..
kharry_de_prince retweeted
@tanpol, kama mnanihitaji, nileteeni wito rasmi wa kisheria, nitafika. Sina sababu ya kukwepa sheria, lakini pia sitakubali kuishi kwa vitisho na hofu.
Ninaitaarifu jamii, wanaharakati na taasisi za haki za binadamu kufuatilia taarifa hii. @MariaSTsehai @Sativa255 @AmnestyKenya
kharry_de_prince retweeted
Kwenye press ya leo, viongozi wa Chadema ni kama wamepata nguvu na ari mpya.
kharry_de_prince retweeted
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine, amesema kumfungwa mtu hakuwezi kuzuia moyo wa kupigania uhuru na haki, akitoa ujumbe wa mshikamano kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kufuatia hukumu iliyotolewa dhidi yake na Mahakama Kuu ya Tanzania.
Katika ujumbe wake kwenye Ukurasa wa X leo Ijumaa, Bobi Wine amesema licha ya Lissu kuhukumiwa kifungo cha miaka minne kwa kosa la uchochezi baada ya kuachiwa huru katika shtaka la uhaini, msimamo wa kutetea demokrasia na haki za wananchi hauwezi kufutwa kwa kifungo.
Amesema, “A cage can restrain bodies, but it can never imprison the spirit of freedom ignited across the region,” akimaanisha kuwa gereza linaweza kuzuia mwili wa mtu, lakini haliwezi kuufunga moyo wa uhuru ulioamshwa katika ukanda huu.
Bobi Wine ameeleza kuwa mapambano ya kudai haki, uwazi na uchaguzi huru yanaendelea kuwa sehemu muhimu ya safari ya kisiasa kwa Afrika Mashariki, akisisitiza mshikamano wa watu wa Uganda na Tanzania.
Aidha, ametoa salamu za mshikamano kwa CHADEMA na wananchi wa Tanzania, akihitimisha ujumbe wake kwa kauli mbiu ya “Aluta Continua” yenye maana ya mapambano yanaendelea.
kharry_de_prince retweeted
TUNDU LISSU : Waheshimiwa Majaji nina msiba mkubwa wa Mtu ambaye amenifanya Mimi kuwa Mwanasheria mkubwa na Mtu aliyenilea. Nilikua natumaini kwasababu sikupata nafasi ya kumuuguza, Mahakama utaona ukweli kwamba hii kesi hamna kitu iniache nikamzike Mzee ALUTE
kharry_de_prince retweeted
Siku 577, sawa na mwaka mmoja na miezi saba ya kuhudhuria kesi ya uhaini ya Mwenyekiti Lissu, hatimae kuambiwa kosa ni la uchochezi😁 Anyways #LISSUSIOMHAINI and it has been proven beyond reasonable doubt
Yeremia 20:14-15
[14]Na ilaaniwe siku uliyozaliwa, jaji DASTAN NDUNGURU isibarikiwe siku ile aliyonizaa mama yako.
[15]Na alaaniwe mtu yule aliyemletea baba yako habari, akisema, Umezaliwa mtoto mwanamume; akimfurahisha.
Namna pekee ya kumfunga @TunduALissu ni kumfunga bila kumpa haki ya msingi ya kujitete... Hii mbinu mpya nahisi itakuja kuwaumiza watu wengi miaka ya mbele..
kharry_de_prince retweeted
All people of goodwill and supporters of democracy across the world are relieved to see the trumped up treason charges against Comrade Tundu Lissu collapse, following his acquittal today.
These charges should never have been brought in the first place. Lissu’s only crime was to call for basic reforms to the electoral architecture in Tanzania to guarantee a fair process. He has lost over two years of his life in custody as he fought off the charges.
We encourage Ndugu Lissu, the CHADEMA Party and all our Tanzanian brothers to take heart and remain strong in their pursuit of justice and freedom, in the knowledge that all forces of regression are usually ultimately defeated.
kharry_de_prince retweeted
Nimefarijika sana kusikia msimamo huu wa chama CHANGU.
Moyo wangu sasa umeamka tena kwa mapambano ya kutafuta UHURU wa kweli wa taifa letu.
REPOST 200
kharry_de_prince retweeted
pole sana mzee wangu alute mahakama imekuangusha. lakini nakubaliana na wewe, lazima tuishi kwa matumaini. mapambano yaendelee. uendelee kupumzika kwa amani, na niendelee kukuweka wewe binafsi na familia yako kwenye maombi wakati wa kipindi hiki kigumu.
🎥: @izzy_pro_director:
kharry_de_prince retweeted
Watanzania Twendeni Singida Kwa Wingi Tukamuwakilishe Tundu Lissu Kwenye Mazishi Ya Kaka Yake Mzee Alute.. !
#KENYA: SIFUNA BLASTS LISSU PROSECUTION, SAYS CHARGES SHOULD NEVER HAVE BEEN FILED
ODM Secretary-General Edwin Sifuna has condemned the prosecution of CHADEMA chairman Tundu Lissu, arguing that the charges brought against the opposition leader were never justified and should never have been filed in the first place.
Reacting to Lissu's acquittal, Sifuna said the veteran politician's only "crime" was calling for basic reforms to Tanzania's electoral architecture to guarantee a fair democratic process.
He described the collapsed case as a grave injustice that saw Lissu spend more than two years fighting charges that should not have been brought against him.
Sifuna further urged Lissu, CHADEMA and Tanzanians pursuing democratic reforms to remain steadfast in their quest for justice and freedom, expressing confidence that forces opposed to democratic progress would ultimately be defeated.
kharry_de_prince retweeted
My Prayer kwa Familia ya Lissu wanapitia kipindi kigumu Mno 🙌🏿💔mna acha Msiba mnaenda kusikiliza hukumu ya ndugu yenu 🚶♀️
kharry_de_prince retweeted
SITOHUDHURIA KANISANI MPAKA TAL ATOKE. HAIWEZEKANI KKKT LINAKAA KIMYA NAMNA HII,KAZI SADAKA ZETU TU. WACHA NISALIE NYUMBANI KWANGU. – at Kitovo, Kenya























