Maximann (@JrKapesa) header
Maximann (@JrKapesa) profile picture

#dreamer ,believer.

East Africa,Tanzania.
Joined September 2016
Photo by Maximann (@JrKapesa)Photo by Maximann (@JrKapesa)Photo by Maximann (@JrKapesa)Photo by Maximann (@JrKapesa)Photo by Maximann (@JrKapesa)Photo by Maximann (@JrKapesa)Photo by Maximann (@JrKapesa)Photo by Maximann (@JrKapesa)Photo by Maximann (@JrKapesa)
Maximann retweeted
Namshukuru MUNGU naiona CHAKA TU CHAKA ikishuka daraja.😭🙏🏾
12
8
2
82
2,237
Maximann retweeted
Mficha uchi kifo sijui maradhi humuumbua mazee I’m broken leo aisee…… I’ve never been this hurt aloo!! Oya naumia sana
8
6
3
91
4,461
Kama pale EPL mchezaji anayesadikika mwenye technical ability kubwa ni Merino basi ni balaa….😂
13
4
53
1,453
Beautiful interior. Always design and build with an Architect.
7
66
2,076
Maximann retweeted
Yule Paula atamcost sana Marioo kwenye vita zake Kidogo tu utasikia ndo maana dem wake nimepita 😅
6
11
340
15,303
Maximann retweeted
🚨🚨| Luca Williams-Barnett puts Spurs 1-0 up on his 𝐅𝐈𝐑𝐒𝐓 Premier League start. Born in 2008, the youngster makes his mark.
3
23
1
489
24,095
Maximann retweeted
Ukweli mchungu, kuna maamuzi ya kuumiza mno unatakiwa kufanya ili kumaliza umasikini wa nyumbani kwenu ili kizazi chako kisiteseke.
7
4
38
1,061
Maximann retweeted
Usimuulize mwanamke “lini una muda tuonane..?” Ni kati ya maswali wanayochukia,we mueleze unahitaji muonane siku flani yeye ndiye atasema ana muda au laah! Binti kama anakukubali mtaonana tu ila sio geto ni restaurant au bar 😄🫵🏾
3
14
394
Maximann retweeted
“Early to bed, early to rise makes a man young, wealthy and wise.” - Benjamin Franklin
21
97
3
939
34,505
Maximann retweeted
Nilienda for a massage recently, and honestly, place ilikuwa inakaa shady kidogo, but nikasema wacha nijaribu. Nilibook 1hr session, and wakanipea chance ya kuchagua therapist, nikachagua petite one. Akaanza massagek. I felt like hakua anajua exactly what she was doing....
22
37
2
692
78,918
Kwa hii defence ya Fofana na colwil tutafungwa sana
1
1
2
58
⭐️ First Premier League goal for Luca Williams-Barnett. Special, special talent.
107
693
36
14,028
769,112
Kiwanda kinazalisha bidhaa halafu wanunuzi ndio shida. Tukijua wanunuzi ni wakina nani wakashughulikiwa, kiwanda hakiwezi zalisha tena.
3
10
28
469
Katy Perry and Justin Trudeau living their best lives together on a romantic Paris getaway! ❤️🇫🇷
10
508
1
790
102,870
Maximann retweeted
There’s no shortage of beautiful women. There’s shortage of successful men. You’re the prize, bro. Act like it.
26
46
2
388
17,328
Since betting companies started sponsoring, football is dead.
315
919
128
8,125
407,576
💨 Ukiwa unaiuliza ChartGPT ya bure maswali nayo inakuuliza maswali mpaka inakuja kukupa jibu ushachoka.
15
12
2
213
8,061
Maximann retweeted
Tuna mafundisho mengi ya ndoa yanayoelekeza wajibu zaidi kwa wanawake kuliko wanaume. Walimu wengi wa ndoa, kwa mfano, wanafikiri mwanamke akiwa mtii, akajua kumhudumia mwanaume na namna ya kuongea naye kwa unyenyekevu, basi matatizo mengine ya ndoa yataisha. Unafikiri ni kwa nini? Kwa nini walimu wa ndoa hutumia lugha yenye jinsia inayoonesha kuwa tatizo kubwa kwenye mahusiano ni mwanamke? “Mwanaume anataka utulivu.” “Mume hataki kelele.” “Mwanaume hataki uchafu.” “Mume anataka kuwa sauti ya mwisho.” “Mwanaume hatari kuambiwa cha kufanya.” Kwa nini tunafikiri matatizo mengi ya kitabia tunayoyaona kwa mwanaume husababishwa na mwanamke? Kwa nini walimu wengi hawazungumzi na wanaume moja kwa moja na wanafikiri mwanaume akiwa na udhaifu fulani basi lawama zielekezwe nyumbani kwake kwa mke wake—na kwamba mwanamke akibadilika tatizo linaisha? Walimu wachache wanaozungumzia ‘Side B’ wanaongelea zaidi tendo la ndoa. Kwamba wanaume akiwa na nguvu za kiume, akala ugali maharage akashiba, halafu akawa na hela za kuhakikisha mke wake amependeza, shughuli yake imeishia hapo. Msingi hasa wa mawazo haya ni nini? Je, ni kweli anachokihitaji zaidi mwanamke kwa mume wake ni mume mwenye nguvu za kiume na uwezo wa kipesa na kwamba mengine yote yanarudi kwenye utii na unyenyekevu kwa mumewe?
3
10
1
14
676
Sema tunachukuliana poa sana humu ndani... Anyway acha tuendelee iko siku tutazipanga..
11
11
2
71
1,997
Maximann retweeted
Haiwezekani kuganga yajayo kwa dhati na mtu anayejidanganya kuwa yaliyopita si ndwele na hataki kujadili mmefikaje hapo. Amani ya kweli inaanza na kufukua makaburi na kuukabili ukweli kama ulivyo.
It’s impossible to truly move forward with someone who won’t acknowledge the past. Real peace starts with honesty.
1
8
23
554