mahnilovefrankocean retweeted
Harry kane akiweka hat trick halafu askie hakuna kuenda na match ball juu budget ni tight
mahnilovefrankocean retweeted
Unatusi mwendawazimu tao alafu anakuambia pia yeye alianza kama wewe 💔😂
mahnilovefrankocean retweeted
Kuna msee amekua akiwarm omena kwa microwave ya job tunazusha mbaya sana. Leo nimedecide niwarm yangu mapema before mambo iharibike nikapata bibi alipack omena pia😭
























