mobappdev (@Mobappdevtz) profile picture
Joined August 2022
Photo by mobappdev (@Mobappdevtz)Photo by mobappdev (@Mobappdevtz)Photo by mobappdev (@Mobappdevtz)Photo by mobappdev (@Mobappdevtz)Photo by mobappdev (@Mobappdevtz)Photo by mobappdev (@Mobappdevtz)Photo by mobappdev (@Mobappdevtz)Photo by mobappdev (@Mobappdevtz)Photo by mobappdev (@Mobappdevtz)Photo by mobappdev (@Mobappdevtz)
mobappdev retweeted
Tuwaunge Mkono Polisi, WAMEJIANDAA KUDHIBITI VURUGU kwenye HUKUMU ya TUNDU LISSU. Sasa mtu AJICHANGANYE, AONE. Kwa kweli, mimi tangu NIZALIWE, sijawahi kuona HUKUMU inalindwa kwa BUNDUKI.
28
65
5
359
9,522
mobappdev retweeted
VIDEO: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema kuwa chama hicho hakitanyamaza wala kufutika licha ya kile alichokiita vitisho, ukamataji, na mateso dhidi ya viongozi wake, akisisitiza kuwa "CHADEMA ni ukweli, na huwezi kuua ukweli". Heche amesema hayo usiku wa Novemba 3, 2026, jijini Dar es Salaam, alipokuwa akizungumza kwenye maadhimisho ya mwaka mmoja wa mauaji yaliyojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
1
35
144
4,118
mobappdev retweeted
Wakati wa Moi Kenya ilikuwa na chama kimoja cha siasa kikiitwa Kanu. Kwahiyo kulikuwa na wanaharati tu akina Raila Odinga, Matiba, Koigi Wamwere, na wengine wengi wanaharakati ndio wameleta mageuzi Kenya.Serkali isiyotaka utawala wa sheria inawachukia Wanaharakati.
3
17
82
1,135
mobappdev retweeted
Kuanzia sasa na kuendelea, Tundu Antipas Lissu (TAL) ndiye wanasaidia pekee atakayekuwa mhimili mkuu unaochagiza mwelekeo wa siasa za Tanzania, bila kujali iwapo majaji wanaotarajiwa kumhukumu kwenye mashitaka ya uhaini, kunako November 6, 2026, watamtendea haki au la.
32
140
1,812
#TajiriLaKihaya Kwanza kabisa, hakuna mtu asiyetaka uwajibikaji. Hata mimi nataka wote waliohusika wawajibishwe. Lakini swali la msingi ni hili: NANI ATAWAWAJIBISHA? Je, tuna mkakati gani wa kuhakikisha hilo linatokea? Tuna nguvu gani ya kuwalazimisha wawajibike? Au tunasubiri miujiza? Kuendelea kubaki hivi hivi kunawanufaisha zaidi CCM, wakati CHADEMA ndio wanaoendelea kubeba gharama za mgogoro huu. Serikali inaendelea na shughuli zake, taasisi zinaendelea kufanya kazi, shughuli za kiuchumi zinaendelea, wananchi wanalipa kodi na maisha yanaendelea kama kawaida. Ukweli mchungu ni kwamba wananchi wengi wame-move on. Mtaani hakuna kilichosimama. Watu wanaendelea na shughuli zao kana kwamba hakuna kilichotokea. Na hapa ndipo tunapopaswa kujiuliza, Je, sisi wananchi tuna nia ya dhati ya kupigania kile tunachokidai? Kama tungekuwa na mshikamano na dhamira ya kweli, tungeweza kutumia nguvu ya wananchi na uchumi kama njia ya kudai mabadiliko. Fikiria kama kwa mwezi mmoja, wafanyakazi, wafanyabiashara, madaktari, walimu, wakulima na sekta mbalimbali zingekuwa na msimamo mmoja wa pamoja wa kushinikiza madai ya haki kwa njia za amani na zisizo na vurugu. Kama shughuli za kiuchumi zingesimama kwa kiwango kikubwa, serikali ingepata ujumbe mzito kwamba wananchi hawako tayari kuendelea na mambo kama kawaida. Lakini ukweli ni kwamba hatuna huo mshikamano. Kila mtu anaangalia maisha yake, jambo ambalo linaeleweka kwa upande mmoja, lakini linatuacha bila nguvu ya pamoja ya kushinikiza mabadiliko. Sisi ni wazuri sana kwenye hashtag, Spaces, mijadala na kujifanya tuna misimamo mikali mitandaoni. Lakini linapokuja suala la kujitoa, kujenga mshikamano na kubeba gharama za kudai mabadiliko, wengi tunarudi nyuma. Na niseme jambo lingine, Huwezi kumwachia Lissu na viongozi wachache jukumu lote la kupigania haki za mamilioni ya Watanzania. Hilo ni jukumu la jamii nzima. Kwa hiyo, mimi sioni maridhiano kama mbadala wa uwajibikaji. Naona maridhiano yenye ajenda ya wazi, masharti yanayotekelezeka, dhamana na utaratibu wa uwajibikaji yanaweza kuwa njia ya kutoka kwenye huu mkwamo. Tusikubali maridhiano ya kufunika yaliyotokea. Lakini pia tusikubali kubaki kwenye mgogoro usio na mwisho huku wananchi wakiendelea kuumia na upande mwingine ukiendelea na shughuli zake bila presha yoyote. Tusichanganye msimamo na ukaidi, wala tusichanganye maridhiano na usaliti. Lengo si kuonekana tumepambana,lengo ni kupata matokeo.
Replying to @EsirEid
Wewe kwa maoni yako unaonaje, ni bora waingingie kwenye maridhiano bila uwajibikaji ama ni bora tubaki hivihivi?
25
12
2
51
4,150
mobappdev retweeted
“Tunapitia kipindi kigumu lakini Uongozi wenu uko Imara…”-; Mhe. @HecheJohn
6
128
1
549
11,146
#TajiriLaKihaya Wale wanaonihoji Je ni sahihi Kwa Mwanamke kuongoza wanaume? Huwa ikifika Kwa MANGE,Maria na Hilda wanakauka kama vile wanamwaga 😅🤣😅🙌🏾 Au hao ni wanaume!
61
32
3
182
8,734
MTAMISEMI: WAJOMBA CHAI Dar Es Salaam walifanya LGBTQ SUMMIT - 2026. Hapa huwezi kuta Rais, Waziri, Mb, Mkurugenzj, Mayor, Diwani au CBE akikemea au kutoa TAMKO. Ngoja Mwalimu au Daktari ateleze uone kasumba yake....🙌
58
30
12
240
40,700
#TajiriLaKihaya Safu ya uongozi CHADEMA mpya ya Wanaharakati Uchwara; Mwenyekiti- Mange Makamu - Maria Katibu mkuu - Hilda Msemaji - Sativa. Nisaidieni kujaza nafasi zilizo wazi 🤣
123
54
11
419
29,469
mobappdev retweeted
MAHAKAMA YA UMMA NA MAHAKAMA YA DHAMIRI- kwa rafiki yangu Godbless Lema. Rev Peter Simon Msigwa Ndugu na rafiki yangu Lema, baada ya kuzungumza na vyombo vya habari, ninaona sasa umesimama mbele ya mahakama mbili muhimu sana katika maisha ya mwanadamu: Mahakama ya Umma na Mahakama ya Dhamiri. Kwa maoni yangu, ulijielekeza vibaya. Huenda ulikuwa na nia njema ya kueleza msimamo wako, lakini wakati mwingine namna tunavyojieleza inaweza kuleta maswali mengi zaidi kuliko majibu tuliyokusudia kutoa. Mahakama ya Umma ni nini? Hii ni mahakama isiyo na jengo, majaji wala waendesha mashtaka. Ni mahakama ambayo wananchi wanapima maneno yako, matendo yako, misimamo yako na uaminifu wako kwa kuzingatia kile wanachokifahamu kuhusu wewe. Katika mahakama hii, si wewe pekee unayeamua namna utakavyoeleweka. Watu wanaweza kulinganisha ulichosema jana na unachosema leo. Wanaweza kuhoji tofauti kati ya maneno yako na matendo yako. Hata hivyo, hukumu ya umma si lazima iwe sahihi kila wakati. Ndiyo maana ukweli na haki vinapaswa kuwa juu ya hisia na mitazamo ya watu. Mahakama ya Dhamiri ni nini? Hii ni mahakama iliyo ndani ya mwanadamu mwenyewe. Haina majaji wanaoonekana, haina waandishi wa habari, haina mashabiki wala wapinzani. Ni mahakama ambayo wewe mwenyewe unakutana na ukweli unaoujua ndani yako. Unaweza kuwashawishi watu kwamba uko sahihi, lakini dhamiri yako ikawa na maswali ambayo hujayajibu. Unaweza kushinda mabishano mbele ya umma, lakini ukashindwa kupata amani ndani yako. Mahakama ya Umma inakuuliza: Watu wanayaonaje maneno na matendo yako? Mahakama ya Dhamiri inakuuliza: Wewe mwenyewe unajua nini kuhusu ukweli wa maneno na matendo yako? Ndugu yangu Lema, kama rafiki yako, siwezi kujifanya ninajua kilicho ndani ya dhamiri yako. Hilo unalijua wewe mwenyewe na Mungu wako. Lakini ninaweza kukuambia kwa upendo na uwazi kwamba, kwa mtazamo wangu, ulijielekeza vibaya. Urafiki wa kweli si kushangilia kila anachofanya rafiki yako. Wakati mwingine ni kuwa na ujasiri wa kumwambia ukweli hata pale ambapo ukweli huo unaweza kumuumiza. Ninakuombea kwa Mungu akupe hekima, utulivu, unyenyekevu na ujasiri wa kujitathmini. Kumbuka, si kila anayekukosoa ni adui yako, na si kila anayekushangilia ni rafiki yako. Wakati mwingine tunatumia nguvu nyingi kujitetea mbele ya watu, lakini tunasahau umuhimu wa kujitathmini mbele ya dhamiri zetu. Unaweza kujitetea mbele ya Mahakama ya Umma kwa maneno, lakini mbele ya Mahakama ya Dhamiri unapaswa kukutana na ukweli. Ndugu yangu Lema, ninamwomba Mungu akusaidie. Kwa sababu mwisho wa yote, si muhimu tu watu waseme nini kuhusu wewe; ni muhimu pia wewe mwenyewe uweze kuishi kwa amani na ukweli unaoujua. Mahakama ya Umma inaweza kukosea katika hukumu yake, lakini Mahakama ya Dhamiri inayosikiliza ukweli kwa uaminifu inaweza kuwa mahali pa mwanzo wa kujisahihisha.
102
211
12
1,051
55,484
Samia na Serikali yake Haramu waliiambia Dunia kuwa Walishinda kwa 98%, Sasa wanataka kuridhiana na nani? na kuhusu nini? #NoJusticeNoPeace
3
45
92
1,098
mobappdev retweeted
BOOSTED.
167
4,283
25
60,321
13,594,000
mobappdev retweeted
Kwanini alipokuwa anatukanwa wewe hukuwahoji waliomtukana! UNAFIKI UNAANZA HAPA ! MI LEMA UWA NAMCHARAZA SANA HASA KULE JF, ILA NIMEKUJA KUGUNDUA KWAMBA WATU WENGI WANA VI AGENDA BINAFSI HASA KUUA UPINZANI! Ninyi mmekaa tu hamuusomi mchezo ! Niliwasanua kule JF
My Brother, Godbless Lema No form of slavery is better than another. A slave is a slave, whether domestic or plantation slavery. As leaders, reformists and activists who believe in diversity, we must be prepared to accept criticism, whether expressed positively or negatively. Our differences in the approaches we adopt in the struggle for democracy are not a weakness; rather, they reflect the reality of our different perspectives and levels of understanding. Everyone has a role to play and a contribution to make, despite the shortcomings inherent in each of our approaches. Our strategic differences are, in themselves, part of our humanity. Even among the disciples of Jesus, there were those who were more inclined towards engagement and outreach, such as Philip, while others, like Simon Peter, were more conservative. That is why the Greeks who came from Bethsaida approached Philip to connect them with Jesus rather than going to Peter! Disagreements and differences between activists at home and those in the diaspora must never make us lose sight of the bigger picture. We must not lose our direction because of our differences. Our priorities must remain 1. FREEDOM AND JUSTICE FOR TUNDU LISSU. 2.  JUSTICE FOR ALL VICTIMS OF POLITICALLY MOTIVATED CASES. 3.JUSTICE FOR ALL VICTIMS OF INJUSTICE AND OPPRESSION BEFORE, DURING AND AFTER THE GENERAL ELECTION OF 29 OCTOBER 2025. In the face of these common struggles, where, then, is the justification for all this infighting? My brother with all due respect Let us engage  through ideas and arguments, embrace our differences, respect one another, and never allow personal disagreements to distract us from our common mission. TRUTH, JUSTICE AND ACCOUNTABILITY ARE THE ONLY PATH TO HEALING OUR NATION. BAK MWABUKUSI
7
3
18
3,717
Asante sana Mama @MarthaKarua pamoja na Wanaharakati wote wa Kenya kwa ajili ya kumpambania ndugu yetu Twaha Mwaipaya. #FreeTwahaMwaipaya
8
161
861
20,570
mobappdev retweeted
"Mpaka leo wameshindwa kukaa vizuri kwenye kiti cha Urais kwa sababu ya dhuluma. Wanajiita watawala lakini ukweli sio watawala. Hawana raha. Hawana amani na hawatapata amani." Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo Luhaga Mpina #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
8
22
445
mobappdev retweeted
LISSU ANAWAPAMBANIA WATANGANYIKA, ALIRUDI NYUMBANI KWASABABU YA WATANGANYIKA, HIVYO BASI LISSU NI WA WATANGANYIKA WOTE AMBAO HAWANA NYAMA NA WENGE VYAMA, ILA WALE TU WANAOELEWA NI KWANINI LISSU ALIRUDI NYUMBANI PAMOJA NA UKILEMA ALIOSABABISHIWA NA CCM. WATANGANYIKA TUSIKUBALI LISSU AFUNGWE AU KUNYONGWA, LISSU SIO MUHAINIIIIIIIIIIIIII!!!!!!!
7
47
3
165
4,377
mobappdev retweeted
TAL
14
44
1,028
mobappdev retweeted
Kaka Boni, Wanaharakati tunajisahau. Tunaingia hadi jikoni kule CHADEMA. Tumeanza kuwapangia nani anawafaa na nani hawafai kwenye mapambano haya. Tutawagawa hawa jamaa ambao ndio wako kwenye uwanja wa vita. Hiki ni chama cha SIASA. Kina uongozi na vikao vyake vya KIKATIBA.
My Brother, Godbless Lema No form of slavery is better than another. A slave is a slave, whether domestic or plantation slavery. As leaders, reformists and activists who believe in diversity, we must be prepared to accept criticism, whether expressed positively or negatively. Our differences in the approaches we adopt in the struggle for democracy are not a weakness; rather, they reflect the reality of our different perspectives and levels of understanding. Everyone has a role to play and a contribution to make, despite the shortcomings inherent in each of our approaches. Our strategic differences are, in themselves, part of our humanity. Even among the disciples of Jesus, there were those who were more inclined towards engagement and outreach, such as Philip, while others, like Simon Peter, were more conservative. That is why the Greeks who came from Bethsaida approached Philip to connect them with Jesus rather than going to Peter! Disagreements and differences between activists at home and those in the diaspora must never make us lose sight of the bigger picture. We must not lose our direction because of our differences. Our priorities must remain 1. FREEDOM AND JUSTICE FOR TUNDU LISSU. 2.  JUSTICE FOR ALL VICTIMS OF POLITICALLY MOTIVATED CASES. 3.JUSTICE FOR ALL VICTIMS OF INJUSTICE AND OPPRESSION BEFORE, DURING AND AFTER THE GENERAL ELECTION OF 29 OCTOBER 2025. In the face of these common struggles, where, then, is the justification for all this infighting? My brother with all due respect Let us engage  through ideas and arguments, embrace our differences, respect one another, and never allow personal disagreements to distract us from our common mission. TRUTH, JUSTICE AND ACCOUNTABILITY ARE THE ONLY PATH TO HEALING OUR NATION. BAK MWABUKUSI
10
9
34
3,159
JE, UNAWEZA KUIPIGANIA HAKI KWA KUONEA HAYA DHULUMA? Ni dhahiri kwamba huwezi kuhubiri wokovu huku ukiionea haya Injili! Huwezi kuwa mpenda mabadiliko huku ukiwabeza wanaharakati, wawe wa ndani ya nchi au nje ya nchi. Huwezi kudai kuwa mpenda mageuzi huku ukiichukia CHADEMA. Na huwezi kusema unampenda Tundu Lissu huku ukimchukia John Heche. Tofauti za mitazamo, mbinu na misimamo hazipaswi kutufanya tuwe maadui. Demokrasia inahitaji uvumilivu, kuheshimu tofauti na kukubali kwamba kila mmoja ana nafasi na mchango wake katika mapambano ya haki na mabadiliko. Tujifunze kutofautiana bila kuchukiana, kukosoana bila kudhalilishana na kushirikiana bila kulazimika kufanana. Tujisahihishe! Demokrasia na mageuzi tunayoyapigania lazima yaanze kwanza ndani yetu. Tunaweka nguvu nyingi katika mambo yasiyo na maana, huku katika mambo ya msingi tukitafuta watu wa kuwatwisha lawama badala ya kukabiliana na changamoto zenyewe. TUJISAHIHISHE! UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI VITALIPONYA TAIFA. BAK MWABUKUSI .................................................................................................... You cannot preach salvation while being ashamed of the Gospel! You cannot claim to support change while ridiculing activists, whether they are operating within the country or in exile. You cannot claim to champion reforms while hating @CHADEMA. And you cannot claim to love Tundu Lissu while hating John Heche. Differences in perspectives, strategies and positions should never turn us into enemies. Democracy requires tolerance, respect for diversity and recognition that everyone has a role and contribution to make in the struggle for justice and change. Let us learn to disagree without hating one another, to criticise without humiliating one another, and to work together without necessarily having to think alike. Let us reflect and correct ourselves! The democracy and reforms we are fighting for must first begin within us. We invest too much energy in issues that do not matter, while on matters of real importance, we spend our time looking for someone to blame instead of confronting the actual challenges. LET US PUT OURSELVES RIGHT! TRUTH, JUSTICE AND ACCOUNTABILITY WILL HEAL OUR NATION. BAK MWABUKUSI
23
215
8
627
10,873
My Brother, Godbless Lema No form of slavery is better than another. A slave is a slave, whether domestic or plantation slavery. As leaders, reformists and activists who believe in diversity, we must be prepared to accept criticism, whether expressed positively or negatively. Our differences in the approaches we adopt in the struggle for democracy are not a weakness; rather, they reflect the reality of our different perspectives and levels of understanding. Everyone has a role to play and a contribution to make, despite the shortcomings inherent in each of our approaches. Our strategic differences are, in themselves, part of our humanity. Even among the disciples of Jesus, there were those who were more inclined towards engagement and outreach, such as Philip, while others, like Simon Peter, were more conservative. That is why the Greeks who came from Bethsaida approached Philip to connect them with Jesus rather than going to Peter! Disagreements and differences between activists at home and those in the diaspora must never make us lose sight of the bigger picture. We must not lose our direction because of our differences. Our priorities must remain 1. FREEDOM AND JUSTICE FOR TUNDU LISSU. 2.  JUSTICE FOR ALL VICTIMS OF POLITICALLY MOTIVATED CASES. 3.JUSTICE FOR ALL VICTIMS OF INJUSTICE AND OPPRESSION BEFORE, DURING AND AFTER THE GENERAL ELECTION OF 29 OCTOBER 2025. In the face of these common struggles, where, then, is the justification for all this infighting? My brother with all due respect Let us engage  through ideas and arguments, embrace our differences, respect one another, and never allow personal disagreements to distract us from our common mission. TRUTH, JUSTICE AND ACCOUNTABILITY ARE THE ONLY PATH TO HEALING OUR NATION. BAK MWABUKUSI
120
375
16
1,650
105,440