Obadiah (@NerbartObadiah) header
Obadiah (@NerbartObadiah) profile picture

entrepreneurship, politics, citizen'speaker, #katiba-mpya #Tanzaniampya #marriage morals #Katibumwenezi J Ukonga23/2028 #Mbunge wa Bunge la JMTanzania 2030

Tanzania
Joined February 2021
Ebu sema nà Mungu kwa neno la shukrani kwa kukuamsha leo, Kaa kwa utulivu ktk uwepo, sikiliza hotuba hii Ukimaliza repost iwafikie wengine. Na Mungu akubariki sana #TanzaniaTanzania #NakupendaKwaMoyoWote
77
Tumuombe Mungu atuepushe na laana.
Nchi inapitia KIPINDI KIGUMU MNO hii.
12
Naiwaza siku ya leo itakuwa ya moto mtandaoni
5
Obadiah retweeted
Siku nilipomsindikiza @TunduALissu kurejesha fomu ya kugombea Uenyekiti wa Chadema. Haoa ndipo historia ilipobadilika.
23
67
4
588
19,099
#TajiriLaKihaya ERIC OMONDI katishaaa saaana🙌🏽🙌🏾🙌🏽
44
112
2
915
21,996
UPDATE: Mwenyekiti wa Jimbo la Kyela Mhe. Victoria Swebe ameachiliwa Huru na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya muda huu.
3
69
1
294
3,967
Japo duniani kote maamuzi ya mahakama hujadiliwa na wadau na jamii nzima Kama hairuhusiwi kujadiliwa basi isingesomwa open court! Uko wapi uhuru wa kujieleza na kujadili maamuzi ya taasisi za umma. Tusipojadili sisi watajadili hata bodaboda! Pole kwa Odemba kwa kupata hasara!
19
92
3
411
19,409
Mwishoni ndio balaa
21
37
1
437
47,155
Tundu Lissu amepewa namba ya mfungwa ambayo ni 623. Sasa, Ukisoma Luka 6:23 inasema “Furahini siku ile na kuruka-ruka, kwa kuwa, tazama, thawabu yenu ni kubwa mbinguni, maana, baba zao waliwatenda manabii vivyo hivyo.” Najiuliza hii ni coincidence au Mungu anazungumza nasi?😳
🤖 Made with AI
31
137
4
557
16,004
TUNDU LISSU ATUZWA NA ULIMWENGU KWA KUPIGANIA DEMOKRASIA. Bunge la Ulaya limemtunza Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA nchini Tanzania Tundu Lissu, tuzo la mwaka huu la SHAKHAROV. Lissu ambaye Kwa Sasa anatumikia kifungo cha 4 jela amepewa Tuzo hilo kutokana na juhudi zake za kutetea Demokrasia na usawa nchini mwake. Thanks so much the @europeanunions @Europarl_EN 🙏
6
140
1
496
12,509
Nimetoka Gereza la Ukonga, kumtembelea Mhe Tundu Antiphas Mghwai Lissu mfungwa mwenye namba 623/2026, yuko salama ameanza maisha mapya. Mhe lissu ametupatia ridhaa Mawakili wa Chama, chini ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Dr Rugemeleza Nshalla kumwakilisha kwenye rufaa inayokusudiwa kusajiliwa na mambo yote yanayohusiana nayo, kufuatia uamuzi uliotolewa tarehe 6 November 2026 na Mahakama kuu, Masijala ya Dar Es Salaam. Mhe Lissu amepokea nakala ya taarifa ya kukata Rufaa (Notice of Appeal) ambayo imesajiliwa Mahakamani, pamoja na nakala ya hukumu iliyosomwa November 06, 2026. Aidha, hatua nyingine za kisheria zinaendelea kwa uratibu wa mawakili wake.
42
322
6
1,306
38,122
Obadiah retweeted
Sio tu Lissu hakupaswa kuwa gerezani, Lissu hakupaswa kukamatwa kabisa. Sote kwa pamoja tusema LISSU HANA HATIA & hukumu ni ya MCHONGO. LISSU HANA HATIA, LISSU HANA HATIA, LISSU HANA HATIA. #FreeTunduLissuNow
8
141
2
358
6,058
“Today the High Court has confirmed what we have said from day one: the treason charge was a political fabrication. The prosecution failed to prove any intention to intimidate the government. Instead of ordering my release after 577 days in detention, the court has convicted me of an offence I was never charged with and never given a chance to defend. This is not justice. This is damage control. History will record how the court searched for a lesser charge simply to keep me in prison.” Tundu Antipas Lissu November 6, 2027 —Admin.
66
1,204
15
3,791
73,891
TAL! Baada ya kukutwa na hatia aliomba kuongea na mawakili wake, tukamzunguka kila mtu akawa anampa mitigation facts, akasema kwani hamjui wana hukumu?, tukamjibu tunajua!, akasema nikifanya mitigation itabadili hukumu yao?, tukajibu hapana! Akasema let me speak my mind!
86
657
12
2,844
75,836
Obadiah retweeted
SIKU YA AIBU KWA UTAWALA WA SHERIA! Sisi ni nchi inayofuata mfumo wa Common Law, siyo mfumo wa Civil Law Katika mfumo wetu, Mahakama ni mwamuzi huru na asiyeegemea upande wowote (impartial adjudicator), siyo mpelelezi, siyo mwendesha mashtaka, wala siyo mtunga mashtaka. Lakini kwa hali ya kushangaza, leo tunakutana na Mahakama inayochukua majukumu yote kwa wakati mmoja: inaandaa shtaka (charge), inafanya uchunguzi, inaendesha mashtaka, inakusanya ushahidi, inabaini kosa, inamkuta mtuhumiwa na hatimaye kumhukumu, bila kumpa nafasi ya kusikilizwa ipasavyo. Huu siyo utendaji wa Mahakama inayosimamia haki. Huu ni kuvuruga misingi ya haki asilia (Principles of Natural Justice), haki ya kusikilizwa (Right to be Heard) na kanuni ya kutokuwa hakimu katika shauri lako mwenyewe (Nemo Judex in Causa Sua). Mahakama haiwezi kuwa mlalamikaji, mpelelezi, mwendesha mashtaka na hakimu kwa wakati mmoja. Hata kama ni kosa dogo lazima liwe cognate offence yaani kosa linaloendana au kuhusiana na kosa analoshtakiwa. Naliwe sehemu ya shitaka na ushahidi utolewe kuhusu hilo na mtuhumiwa ajitetee. Na pia ni Kanuni za Msingi katika Taifa letu kwamba kunapokuwa na adhabu ya Kigungo na Faini au vyote kwa pamoja ni lazima uanze kwanza na adhabu ya faini akishindwa kinafuata kifungo. HII NI AIBU KUBWA. Kazi ya Mahakama ni kutenda haki kwa kusikiliza pande zote kwa usawa, siyo kutafuta au kubuni njia za kumtia mtu hatiani. Tunapofika hapa, tunakuwa hatujadili tena hatima ya mtuhumiwa mmoja tu; tunajadili uhai wa utawala wa sheria katika nchi yetu. UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI NDIVYO VITALIPONYA TAIFA! BAK MWABUKUSI
40
450
5
1,376
38,121
RT @duahamud: Umetufundisha namna bora ya kuishi haki na kweli.Heshima kubwa tunayokupa ni kuiga tabia yako njema na kuwa watu wa haki mpak…
Kwa Hakika "Haki" ni zaidi ya Risasi, Mtu wa Haki ni Simba wa Nyikani. Mhe @TunduALissu hana Jeshi, Silaha na hana mabomu, lakini anazingirwa na Vitengo vyote vya usalama, vikiwa na silaha aina zote kwa sababu ya ulimi wake wa Haki.Wasio haki ni Waoga #FreeTunduLissuNow✌️
1
13
63
774
Tanzanian opposition party chair Tundu Lissu has been detained 18+ months solely for peaceful exercise of his rights. The European Parliament condemned his "arbitrary & politically motivated detention" & called for his immediate, unconditional release. europarl.europa.eu/doceo/doc…
5
149
2
345
6,366
Yessssss Ni leo tarehe 06 November 2026 Mahakama kuu Dar es salaam
1
10
60
584
DANIEL 3:16-19 1. "Mungu aweza kutuokoa" = I'M HOPEFUL FOR TOMORROW. Walikuwa na matumaini makubwa kwamba kesho Mungu atawatoa. 2. "LAKINI KAMA SIVYO" = BUT I'M ALSO PREPARED FOR THE WORST. Wakasema hata kama Mungu asipotuokoa na tukichomeka humo, bado hatutabadilika msimamo.
13
39
484