Learner✝️🛐✝️🕊👑 (@ProLearner77) header
Learner✝️🛐✝️🕊👑 (@ProLearner77) profile picture

A Real Human. Being // Reposts≠endorsements

Ngara
Joined April 2015
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
Mimi SATIVA ikija kutokea NIMETEKWA KENYA wahusika wakuu ni JESHI LA POLISI LA TANZANIA. Hii Email nilitumiwa mwaka jana 9/11/2025 na dawati maalumu la "Doria mtandaoni" (Crime Desk). Na alietuma Email hii ni AFANDE "ASP JOHN KAAYA" alikuwa shahidi namba 4 kwenye Kesi ya UHAINI YA MH LISSU. Hii taarifa itunzwe kwa wivu mkubwa sana, najua hii nchi itakuja kukombolewa hata kama sitaona ukombozi wake ila hawa watu wanaotupoteza lazima wapate HAKI YAO. CASE CLOSSED.
37
184
8
777
40,869
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
Germany, Austria, the Netherlands, Denmark and Greece have announced that Rwanda will be used as a deportation centre for migrants who have failed in their bid for asylum. The so-called ‘return hub’ will be ready to accept arrivals in 2027.
167
306
103
832
152,997
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
"If I had Killed Besigye, Besigye would be a hero in the memory of the people. It is bankrupt to kill people. Why would I kill you becauseyou are opposing me?" - President Yoweri Kaguta Museveni.
43
137
19
666
77,602
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
Give an insecure idiot power, and watch him turn every disagreement into a crime.
26
257
36
755
22,416
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
Yaani kila ninapotafakari kuhusu makosa ambayo yapaswa adhabu yake yawe kifo sipati majibu.Hivi kuwa mkosoaji wa serikali anaekubalika na jamii ni kosa ? Inawezekana waliotuingiza kwenye mfumo wa vyama vingi hawakuwaza vizuri? Walipaswa kuwaza kuwa ipo siku atakuja mtawala ambae hatavumulia ukosoaji,walipaswa kuwaza kuwa huyu mtawala ataondoa vijana wa Tanzania kwa kuwateka na kuwapoteza kwa sababu hataki kukosolewa. Hii haiwezi kuwa njia sahihi ya kuunyamazisha upinzani.Upinzani unanyamazishwa kwa kuwatendea haki wananchi.Upinzani utanyamaza siku Demokrasia itakapoheshimika kama mfumo bora wa kiuchaguzi.Upinzani utanyamaza Watanzania watakapopata maendeleo kwenye level za Kata bila ya mtu kuuwawa. Upinzani hauwezi kunyamaza kama 98% ya Bunge ni la chama kimoja lakini bado hakuna maendeleo mtaani.Tunanyamaza vipi ikiwa umasikini unaongezeka uraiani lakini CAG anatoa ripoti za ufisadi wa hawa wanaojiita viongozi wa nchi? Ajira hakuna,Maendeleo hakuna,Huduma za afya ni hafifu,Barabara ni za hovyo,Pesa hakuna mtaani na Mafuta bado yanaendela kupanda bei.Ukihoji wanakutafuta upotezwe. IT CANT BE,WE CANT CONTINUE LIKE THIS. Bring back Twaha Mwaipaya. Free him now.
26
156
2
571
8,884
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
DAMU ZA WATU Vs DHAMIRI Rev Peter Simon Msigwa Nina swali kwa kila mtu aliyepewa dhamana ya kulinda haki na maisha ya watu: Jaji, Polisi, mwanasheria, kiongozi wa Serikali au mtu yeyote mwenye mamlaka. Unajisikiaje unapojenga nyumba nzuri, unanunua gari la kifahari, unasomesha watoto wako shule za gharama kubwa, unakula vizuri na kuishi maisha ya anasa, huku ukijua kwamba huenda ustawi huo umejengwa juu ya machozi, mateso na damu za watu ambao ulipaswa kuwalinda? Unapolala kwenye godoro la gharama kubwa, dhamiri yako inalala pia? Unapofungua mlango wa nyumba yako nzuri, unakumbuka familia ambazo zimebaki bila baba, mama au watoto kwa sababu ya matumizi mabaya ya mamlaka? Unapompeleka mtoto wako shule nzuri, unawafikiria watoto ambao maisha yao yamevurugika kwa sababu ya mzazi wao kunyimwa haki? Unapoketi na familia yako mezani na kufurahia chakula, unaweza kweli kuwa na furaha huku ukijua kwamba kuna familia nyingine zinazolala na njaa ya haki, zikiomboleza wapendwa wao? Kwa JAJI: Je, unafahamu kwamba kalamu yako inaweza kuwa na nguvu kuliko silaha? Hukumu yako inaweza kumrudishia mtu uhuru au kumfungia gerezani bila haki. Usisahau kwamba joho la mahakama si kinga dhidi ya hukumu ya dhamiri na historia. Kwa POLISI: Je, unakumbuka kwamba silaha uliyopewa ni kwa ajili ya kulinda maisha, si kuyakatisha? Sare yako ni ishara ya dhamana ya kulinda raia, si ruhusa ya kuwatesa, kuwatesa kisaikolojia, kuwateka au kuwapoteza watu. Kwa WENYE MAMLAKA: Je, mnaelewa kwamba madaraka ni dhamana, si umiliki wa maisha ya wengine? Cheo chako ni cha muda. Uhai wa mwanadamu una thamani isiyopimika. Hakuna cheo kinachokupa haki ya kuamua kwamba maisha ya mwingine hayana thamani. Nataka kila mwenye mamlaka aelewe jambo moja: Unaweza kujenga nyumba yenye geti kubwa, ukuta mrefu na kamera za usalama. Unaweza kununua gari lenye vioo visivyoonekana kutoka nje. Unaweza kuzungukwa na walinzi na kuishi kwenye mazingira ya kifahari. Lakini huwezi kujenga ukuta wa kutosha kuzuia dhamiri yako isikuulize maswali. Unaweza kuificha kweli kwa muda, unaweza kuzuia watu wasizungumze, unaweza kutumia mamlaka kuzuia ushahidi usisikike, lakini huwezi kuufuta ukweli katika kumbukumbu za historia. Kumbuka: Watoto wako hawahitaji urithi wa nyumba na magari pekee; wanahitaji urithi wa jina lenye heshima. Usimwachie mtoto wako mali ambayo siku moja ataionea aibu kuitaja. Mali inaweza kurithishwa. Cheo kinaweza kurithishwa kwa kumbukumbu. Lakini wajibu wa kujibu mbele ya historia hauhamishwi kwa watoto wako. Mithali 21:3 inasema: “Kutenda haki na hukumu humpendeza BWANA kuliko kutoa sadaka.” Na Yakobo 3:1 inatukumbusha kwamba wanaofundisha na kuongoza wengine watapata hukumu iliyo kubwa zaidi. SWALI LA MWISHO Siku moja utastaafu. Utavua sare. Utaliacha joho la mahakama. Utakabidhi ofisi. Utashuka kwenye gari la Serikali. Walinzi watarudi makwao. Utabaki wewe, familia yako na dhamiri yako. Je, utaweza kukaa na wajukuu zako, ukiwaangalia machoni na kuwaambia kwamba ulitumia mamlaka yako kulinda haki, utu na uhai wa mwanadamu? Au utakuwa na nyumba kubwa, magari mazuri na akaunti zilizojaa fedha, lakini historia yako imejaa majina ya watu ambao hawakupata haki? USIWE TAJIRI WA MALI KWA KUMFANYA MWINGINE KUWA MASKINI WA HAKI. Mamlaka ni ya muda. Mali ni ya muda. Cheo ni cha muda. Lakini madhara ya dhuluma yanaweza kurithiwa na vizazi, na kumbukumbu ya jinsi ulivyomtendea mwanadamu mwenzako inaweza kuishi muda mrefu kuliko maisha yako. Usiogope tu kupoteza cheo. Ogopa kupoteza utu wako ukiwa bado unacho.
9
59
4
208
3,628
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
Mwanamuziki na mfalme wa mashairi nchini Tanzania, Selemani Msindi maarufu kama Afande Sele amedai kuwekwa kando na kuzuiwa kuendelea kutumbuiza kwenye tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva kutokana na hatua yake ya kuzungumzia na kuwakumbuka watu waliotangulia mbele za haki wakati wa matukio ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Katika tamasha hilo la Miaka 30 ya Bongo Fleva lililofanyika tarehe 7 Novemba 2026 mkoani Mbeya, Afande Sele alipanda jukwaani na kuimba akiwasihi wananchi kuwaombea na kuwakumbuka waliotangulia mbele za haki, akisisitiza kuwa matukio ya Oktoba 29 hayasauliki. Hata hivyo, amedai waandaaji wa tamasha hilo wameelekezwa asiruhusiwe kuendelea kuwepo kwenye maonesho yanayofuata. Akizungumza na Jambo TV, Afande Sele amedai kuwa alitakiwa kuueleza umma kwa kusema kuwa ana dharura au yuko ‘bize’ ili kuficha sababu halisi ya kuachwa kwake. Hata hivyo, amekataa katakata mpango huo akisisitiza kuwa muziki ndiyo kazi yake kuu inayomlisha na kuwa hawezi kuwahadaa wananchi Afande Sele amebainisha kuwa kuongelea kwake matukio ya Oktoba 29 hakukuwa na nia ya kumtuhumu yeyote bali kulilenga kuiondoa taswira iliyokuwepo kuwa tamasha hilo lilikuwa la ‘machawa’ pamoja na kuitetea serikali ambayo nayo yenyewe imekiri kuwepo kwa matukio hayo na kuunda tume za uchunguzi. “Niliongea ili kuhakikisha kwamba watu hawachukulii kama ni ‘show’ ya machawa. Naitetea show pia, lakini pia natetea nchi... Mimi sijasema kama nani kaua, sijasema hivyo... hata mimi nasubiri uchunguzi na tume zinaundwa kutafuta ukweli”, ameeleza Afande Sele. Tamasha lijalo la Miaka 30 ya Bongo Fleva litafanyika wilayani Kahama mkoani Shinyanga tarehe 27 Novemba 2026 ambapo katika mabango ya matangazo ya orodha ya wasanii watakaotumbuiza picha ya Afande Sele haijaonekana. Hata hivyo, akizungumza na Jambo TV kwa njia ya simu, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki na mmoja wa waratibu wa tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva, Hamisi Taletale (Babu Tale), amesema kutokuwepo kwa Afande Sele kwenye orodha hiyo hakuhusiana na mambo aliyoyazungumza jukwaani katika tamasha lililopita, bali unatokana na utaratibu wa kawaida wa kubadilisha na kuwapunguza wasanii kulingana...soma zaidi jambo.co.tz
21
59
6
569
27,791
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
"If education doesn't teach you to resist injustice, it has failed." — John Dewey
34
637
30
2,203
23,490
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
watu wanaoonewa wanazo zana za kupambana na uonevu, na kubadilisha historia, bila kudhurika moja kwa moja. miongoni mwao ni kususa, 'boycotting.' ni zana hiyo iliyoharakisha kupigwa marufuku biashara ya utumwa au kukomesha utawala wa kikaburu afrika kusini. ni suala la kuamua tu.
8
47
2
238
5,732
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
A stupid leader is dangerous. A stupid leader with loyal followers is a disaster.
691
25,154
1,825
63,463
1,105,203
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
Usafi wa jiji na machungu ya wafanyakazi wake
1
2
9
1,186
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
Mobutu Sseseko's abandoned home in DRC. I am reminded of Ruto's huge concrete homes across the country. Ipo siku justice will be done.
54
193
12
494
61,539
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
Chinese President Xi Jinping has called for the peaceful ‘reunification’ of Taiwan with China, saying that it ‘will be realised’. Speaking in Beijing’s Great Hall of People, Xi reaffirmed his commitment to offer a ‘one country, two systems’ policy.
324
1,161
234
5,107
788,881
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
Fuck capitalism
Readers added context they thought people might want to know
The images in this post are AI-generated, with implausible oversized delivery bags and other unrealistic details. Multiple replies identify them as such (compare to real 2020 photos of a similar Delivery Club courier). meduza.io/en/feature/202… x.com/nghtviews/stat… x.com/BoSox2433/stat… x.com/Hellreiser173/…
350
4,102
116
50,318
1,248,884
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
سافرت مسافة طويلة لألتقي بأصدقاء يشبهوني ويشاركوني نفس التحدي ونفس الكرسي فرحتهم وهم يلبسون قمصان السد ويشاركوني الضحكات جعلتني أشعر أننا نعرف بعضنا منذ سنين هذه الوجوه المبتسمة رغم كل الظروف هي التي تعطي للحياة معنى. @AlsaddSC
33
154
6
995
19,314
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
unamfunga lissu mmoja, wanaibuka wengine elfu. unamteka soka, mdude, polepole, mwaipaya, wanaibuka laki. jay z, kwenye ‘sorry not sorry,’ anachana: “you killed christ, you created religion, unexpectedly.” ni kujidanganya kudhani ukatili utazima ukosoaji:
6
106
2
417
6,614
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
Military court in DR Congo sentences 66 soldiers to death for being 'cowards'. bbc.in/4zNchMX
11
28
5
122
22,586
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
Saudi court sentences Kenyan domestic worker to 100 lashes for giving birth outside of marriage trib.al/ZDASzGK
166
490
290
1,299
696,547
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
Replying to @ProLearner77
@ccm_tanzania ‘s cruelty That's why we don't want the party any more There is a lot of evidence of #crimesagainsthumanityinTanzania @ccm_tanzania personnel have no place in our society; they deserve A LIFE IN PRISON! #samiasuluhuMUUAJI #SamiaSuluhuRaisiHaram
1
1
15
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
They wanted him dead by all means. Mungu alivyo wa ajabu, the very person who ordered his killing is now the one lying 6 feet underground.
SINGIDA: Mkurugenzi wa taasisi ya The Women Wake Up Foundation, Dkt. Veronica Alexander, amesema hayo Novemba 10, 2026, alipokuwa akizungumza katika mazishi ya Alute Mughwai Lissu, kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Zaidi jamii.app/VeroSiogopiKutekwa #JamiiForums #Utawala
6
9
75
2,377