Thabit (@Thabithk_) header
Thabit (@Thabithk_) profile picture
Joined December 2024
Photo by Thabit (@Thabithk_)Photo by Thabit (@Thabithk_)Photo by Thabit (@Thabithk_)Photo by Thabit (@Thabithk_)Photo by Thabit (@Thabithk_)Photo by Thabit (@Thabithk_)Photo by Thabit (@Thabithk_)Photo by Thabit (@Thabithk_)Photo by Thabit (@Thabithk_)Photo by Thabit (@Thabithk_)
Jisasi kraist: #vituvyapeponi Nakala kwa: @jwise017
This quoted post is unavailable.
65
Homa ya ini ni hatari zaidi kuliko UKIMWI kwa sababu virusi vyake vina nguvu kubwa na vinaambukiza kwa urahisi wa hali ya juu. Virusi vya homa ya ini (hasa aina ya Hepatitis B) vina uwezo wa kuambukiza kwa kasi ya mara 50 hadi 100 zaidi ya virusi vya UKIMWI (HIV). Pia, virusi hivi vinaweza kuishi nje ya mwili wa binadamu kwenye vifaa vilivyochanganywa na damu kavu, kama vile nyembe au mashine za kunyoolea, kwa hadi siku saba bila kufa. Ugonjwa huu unajulikana kama "muuaji wa kimyakimya" kwa sababu haionyeshi dalili zozote za wazi kwa miaka mingi baada ya mtu kuambukizwa. Tofauti na UKIMWI ambao mara nyingi huonyesha ishara za kudhoofika kwa mwili mapema, mgonjwa wa homa ya ini sugu anaweza kuonekana mwenye afya tele. Watu wengi hugundua kuwa wana ugonjwa huu pale tu ini linapokuwa limeharibika vibaya sana au limepata saratani, hatua ambayo inakuwa ni ngumu kuokoa maisha. Njia za uambukizaji wa homa ya ini ni nyingi na ni rahisi zaidi kukumbana nazo katika maisha ya kila siku ikilinganishwa na UKIMWI. Mbali na kujamiiana na kuingia kwa damu yenye maambukizi, homa ya ini inaweza kuenea kwa kushirikiana vifaa vya kawaida vya usafi wa mwili kama vile miswaki, mikasi ya kucha, au vifaa vya kutobolea masikio. Hali hii inafanya jamii nzima, wakiwemo watoto wadogo na watu wasiojihusisha na tabia hatarishi, kuwa kwenye hatari kubwa ya kuambukizwa. Kuhusu matibabu, homa ya ini inapofikia hatua ya kuwa sugu haina dawa ya kuiondoa kabisa mwilini, na matibabu ya hatua za mwisho ni magumu na ya gharama kubwa sana. Wakati wagonjwa wa UKIMWI wakiwa na uhakika wa kutumia dawa za ARV zinazofifisha virusi na kuwapa maisha marefu ya kawaida, wagonjwa wa homa ya ini iliyokomaa wanakabiliwa na hatari ya ini kusinyaa au kufeli kabisa. Katika hatua hiyo, tiba pekee iliyobaki ni kufanya upasuaji mkubwa wa kupandikiza ini jingine, huduma ambayo haipatikani kwa urahisi katika nchi nyingi zinazoendelea. Pamoja na hatari hizo zote, faida kubwa ya kipekee ya homa ya ini dhidi ya UKIMWI ni uwepo wa chanjo salama na ya kuaminika inayoweza kuzuia maambukizi. Chanjo hii inatolewa kwa dozi tatu na inatoa ulinzi wa karibu asilimia 100 dhidi ya ugonjwa huu maisha yote, kinga ambayo bado haijapatikana kwa upande wa UKIMWI. Hii ina maana kwamba ingawa homa ya ini ni hatari zaidi ikikupata, ni ugonjwa unaozuilika kwa urahisi zaidi iwapo mtu atachukua hatua ya kwenda kupimwa na kupata chanjo mapema.
8
35
2
83
7,951
LISSU/HECHE ndio UKUTAA WA HAKI uliopo kati ya WATANZANIA na WAUWAJI WA 10/29.
13
229
1
1,425
51,964
Kwa wafuasi wote wa CHADEMA na mageuzi, wapenda haki, ukweli na demokrasia nchini. Baada ya Katibu Mkuu wetu, John Mnyika, kutangaza maazimio ya Chama chetu, ikiwa ni pamoja na kikao cha Baraza Kuu kinachotarajiwa kufanyika siku sio nyingi , vilevile alizindua mpango maalumu wa uchangiaji wa fedha kupitia Tone Tone. Kwa siku kadhaa sasa, kampeni hii imeendelea kwa nguvu kubwa mitandaoni, ikibebwa na viongozi wetu, wanachama, wananchi pamoja na wana harakati mbalimbali. Nawashukuru kwa dhati kabisa wote mlioamua kubeba jukumu hili; kuanzia anayehamasisha michango hadi anayetoa mchango wake. Kila mmoja wenu ni sehemu ya historia inayoandikwa. Hata hivyo, pamoja na shukrani hizi, kuna ukweli ambao hatupaswi kuogopa kuusema. Wakati mwingine ukweli huwa ni sehemu muhimu ya kujitathmini kama taasisi na kama watu wenye maono ya pamoja. CHADEMA ni Chama chenye wafuasi wengi kuliko Chama chochote cha siasa nchini. Wakati wa operesheni ya CHADEMA ni Msingi tulikuwa na kanzidata ya wanachama zaidi ya milioni saba. Kwa tafiti na tathmini zetu za sasa, si jambo la kupindukia kusema kuwa wapenzi wa demokrasia, haki na mabadiliko nchini wanafikia au hata kuzidi asilimia 65 ya Watanzania wazima. Kama tunakubaliana na ukweli huo, basi ni lazima tukubaliane pia na wajibu unaoambatana nao. CHADEMA haipaswi kuwa na upungufu wa fedha za kuendesha shughuli zake. Kama watu milioni moja tu wataamua kuchanga shilingi 1,000 kila mwezi, Chama chetu kitakuwa kinapata zaidi ya shilingi bilioni moja kila mwezi. Katika kampeni hii ya kuhakikisha kikao cha Baraza Kuu kinafanyika, watu laki tano pekee wakichanga shilingi 2,000 kila mmoja, tayari watakuwa wamechangia takribani shilingi bilioni moja kwa Chama chao. Hii ina maana kuwa changamoto yetu siyo idadi ya watu, bali ni kiwango cha dhamira yetu (commitment) katika kuwekeza kwenye kile tunachokiamini. Ni lazima tujifunze kwamba mapambano ya demokrasia yana gharama zake. Haki ina gharama yake. Mageuzi yana gharama yake. Hakuna taasisi inayoweza kuwa huru kama utegemezi wake unatoka mahali pengine isipokuwa kwa watu wake wenyewe. Vyama vikubwa vya siasa duniani vimejengwa kwa michango midogo lakini ya kudumu kutoka kwa wananchi wanaoviamini. Nasi tunapaswa kujenga utamaduni huo. Tusifanye uchangiaji kuwa jambo la misimu au la kusubiri vikao maalumu. Uchaguzi wa mwaka 2025 ulipita na Chama chetu hakikushiriki. Hivyo, hatuna ruzuku tunayoitegemea. Tunachokitegemea ni imani, mshikamano na mchango wa wananchi wenyewe. Huo ndio mtaji mkubwa wa CHADEMA. Ni jambo lisilo na mantiki kusema tuna mamilioni ya wafuasi huku tukishindwa kukusanya fedha za kuendesha shughuli zetu za msingi. Tukitaka kuwa Chama kikubwa, imara na huru, ni lazima tukubali kubeba gharama za ukubwa huo. Tusitarajie wachache wabebe jukumu ambalo mamilioni yetu yanaweza kulifanya kwa wepesi kabisa. Ni rai yangu kwa kila mwanachama, mfuasi na mpenda mageuzi popote alipo, afanye jukumu hili kuwa sehemu ya maisha yake ya kisiasa. Elfu moja yako inaweza kuonekana ni ndogo, lakini inapoungana na elfu moja za wengine, hujenga taasisi kubwa. Michango yetu midogo ndiyo itakayolinda uhuru wa maamuzi yetu na uimara wa Chama chetu. Tusichangie kwa sababu tunaombwa kuchangia. Tuchangie kwa sababu tunaamini katika Tanzania yenye haki, demokrasia na utawala wa sheria. Tuchangie kwa sababu tunaamini kuwa mageuzi tunayoyatamani hayawezi kujengwa kwa maneno pekee, bali kwa kujitoa kwetu kwa vitendo. Your small donation can make a very big change. Nawashukuru sana kwa upendo wenu, mshikamano wenu na imani yenu katika mapambano haya. Historia ya mageuzi huandikwa na watu wanaoamua kufanya zaidi ya kushangilia. Naamini tutafanya zaidi ya tuliyoyafanya jana. Mungu akubariki , asanteni kwa wale wote mliochanga na mnaoendelea kuchanga na ni wito wangu kwa kila mtu kujali kwa vitendo jukumu hili muhimu , tena sio mara moja bali kila wakati.
69
268
10
930
190,794
Thabit retweeted
Kama hujashiriki mchango wa kuichangia CHADEMA na unajiita mpenda HAKI inabidi Ujitathmini. Mpaka sasa tumepata 24M na safari ya kuisaka 334M inaendelea. Kumbuka mchango huu utaenda kusukuma ajenda kuu mbili. 1. #FreeTunduLissu 2. #KatibaMpya Repost 500
15
157
1
611
14,188
Changia chochote ulichonacho ili tupate haki kwenye nchi yetu. @ChademaTZ2 ndio our last line of defense against wauwaji waliopora haki zetu.
16
373
1
1,757
80,584
SADAKA YA TUNDU LISSU. Jumapili ya leo tunamtolea sadaka Mh. Tundu Lissu akiwa Gerezani ili kuwezesha Chama chake kiweze kufanya Baraza kuu. TUMA SADAKA YAKO. M-Pesa Namba: 0744446969 Jina: CHADEMA HQ NMB Bank Namba ya Akaunti: 22606600140 Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
19
163
5
580
17,260
Thabit retweeted
Nimechangia 1M. Tunaomba mchango wako wa hali na MALI. Huu mchango ni maalumu kwaajili ya; 1. FREE TUNDU LISSU. 2. KATIBA MPYA. REPOST 200
Watanzania walitaka namba ya MAKAMU HECHE ili wamtumie PESA kama kumuunga mkono kipindi hiki kigumu. MAKAMU HECHE kaamua kuomba watanzania wachangie CHAMA-Chama kina jukumu zito ndani ya huu mwezi mmoja kuitisha BARAZA KUU LA CHAMA. Baraza kuu la CHAMA linakuja kufanya maamuzi MAZITO juu ya haya mambo mawili. 1. KATIBA MPYA. 2. FREE TUNDU LISSU. Jumla MILIONI 330 inatakiwa-Kufanikisha hili BARAZA KUU. Weka mchango wako kwenye account rasmi za CHAMA. Voda (MPESA): 0744446969 JINA: CHADEMA HQ. Repost 500
63
404
16
1,536
133,051
Kuelekea Baraza kuu la kihistoria.. Nimesikia sauti yenu, Asanteni sana Watanzania kwa upendo mkubwa. Ushindi wetu uko karibu sana.. Msiogope, tutashinda.
62
440
11
1,740
28,585
Asante kaka @HecheJohn we ni kiongozi wa mfano 💪🏽 Kila mtanzania anatakiwa achangie maana Chadema ndo last front yetu katika hii harakati kisiasa
33
270
5
1,112
42,991
TAARIFA KWA UMMA: SOLIDARITY NA WANACHAMA WETU Mnamo tarehe 19 Juni 2026, Mahakama ya Mwanzo Kizumbi imewahukumu wanachama wanne (4) wa CHADEMA Kata ya Lyabukaende, kifungo cha miezi minne gerezani au faini ya Tsh 300,000 kila mmoja kwa madai ya “kufanya fujo” katika mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, @julius_mtatiro Hukumu hii ni muendelezo wa mbinu za kukandamiza sauti za mabadiliko na kuwatisha wananchi. Waliohukumiwa ni; 1. Masele Bahati Lubongeja 2. Raphael Henri Masangwa 3. John Charles Mashenene 4. Zephania Lugwisha Maduhu Wakati tukijipanga kukata rufaa, tuonyeshe mshikamano (Solidarity) kutoka kwa kila mpenda haki kuchangia faini zao ili wasiende gerezani. Jumla kuu inayohitajika ni Tsh 1,200,000. JINSI YA KUCHANGIA: M-PESA: 0764 662 049 Jina: CHADEMA KANDA YA SERENGETI
1
15
55
1,795
This is the perfect plan for a longer healthier life..
10
133
503
136,925
Nimeambiwa nipost samaki. Haya hawa hapa 😆
8
67
1
121
5,792
Tone Tone .. Imerudi Tena..!
7
75
287
3,174
Chadema pokeeni huu mchango wangu ambao umetokana na pesa ambazo Watanzania wananipa kupitia subscription za Mange Kimambi App na subscription za account ya Instagram ambayo imefungwa ( ni maajabu account imefungwa ila bado wananikusanyia mapato kila mwezi na kunitumia). Hizi pesa mmpewa na Watanzania sio na Mange Kimambi maana bila Watanzania hii pesa nisingekuwa nayo. Ahsanteni sana Watanzania kwa kuendelea kulipia subscription za Mange Kimambi app, although sijaweka habari zaidi ya miezi 9 sasa. Na pia Ahsanteni ambao hamja cancel subscription za page yangu ya instagram iliyofungwa (@mangekimambi80) nawaomba msicancel. Watanzania, Chadema hawatoweza kutusaidia kudai haki kama hawana pesa yoyote. Ni lazma sisi wananchi tuwachangie. Kama jinsi mlivyojiunga kwenye subscribption za Mange Kimambi app naomba mjiunge na subscription za Chadema. Imagine Kama Watanzania laki 2 tu mkijiunga subscription ya elfu 3 tu kwa mwezi, hiyo ni milioni 600 kila mwezi kwa Chadema. Pia bila pesa hakuna movement ya maana Chadema wataweza kufanya. Wauwaji wanakodi zetu wanazitumia kushikilia nchi bila ridhaa yetu. Ni lazma tuwawezeshe Chadema.
Ndugu wanachama wa CHADEMA na Wapenzi wa Demokrasia Nchini. Chama chetu kimefunguliwa rasmi kufanya shughuli za siasa. Hii ni fursa muhimu katika kuendelea na mapambano ya haki, uhuru na uwajibikaji katika Taifa letu. Lakini ukweli usioepukika ni huu hatuna ruzuku hata ya SENTI MOJA. Hii ina maana kwamba uhai, nguvu na uendelevu wa CHADEMA uko mikononi mwetu sisi wenyewe. Hatuna budi kuchukua jukumu. Hatuna budi kusimama. Hatuna budi kuchangia. Kila Mwanachama na kila mpenda Demokrasia ana wajibu wa moja kwa moja, kuchangia CHADEMA. Usione mchango wako ni mdogo. Usisubiri mwingine achukue nafasi yako. Kila senti unayotoa ni nguzo ya kusimama kwa chama hiki. Tujenge utamaduni wa kuchangia bila kusukumwa. Tujenge tabia ya kusaidia chama kila wakati. Hapo ndipo tutakapopata uhuru wa kweli wa kisiasa na kiutendaji. Mimi nipo, na nimeanza. Na wewe pia ni wakati wako sasa. Chukua hatua. Anza kuchangia. Simama na CHADEMA. Kwa pamoja, tutakijenga chama imara na Yaifa lenye HAKI. Tuchange tu kwa namba maalumu za CHAMA na Akaunti za Benki ili kujenga uadilifu wa Taasisi Imara. Mikakati zaidi inakuja baada ya vikao kuanza. Asanteni.
127
487
18
2,393
162,142
Kindly visit ‘The Jenerali Ulimwengu Post.’ thejeneraliulimwengupost.com
28
102
2,424
Kmmezenu @VodacomTanzania nimekosa laki 3 kwa ajili ya mtandao wenu
5
Hii interview ukiisikiliza unaweza dhani Lissu anadhalilika, lakini ukiwa unafahamu siasa za nchi hii, unaona kuwa ni uzao mpya wa siasa za kweli za Mageuzi. Mageuzi sio kuwa tajiri. Mageuzi ni umma kuelewa na kuwa tayari kutenda.
Baada ya Chama cha chadema kutoshiriki UCHAGUZI wa serikali ya Jamhuri ya muungano wa tanzania 2025 Hali iliyopelekea chama hichi kukosa ruzuku kutokana na kutokua na mwakilishi ndani ya bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Mchambuzi wa maswala ya kisiasa na mwansishi wa habari Ezekiel kamwaga ametoa maoni yake na kusema kua uenda hii Ndo ikawa Chanzo cha anguko la chama ichi Amesema kua mbowe alikua na FEDHA Pamoja na wafadhili ndio maana iliwasaidia kuendesha chama icho lakini tundu LISSU Hana pesa na wala Hana wadhamini ambao wataweza kukisaidia chama icho kusimama
4
Kama wewe ni mtu wa marketing au advertising na moja ya malengo yako mwaka huu ni kujifunza zaidi Hii link ni kwaajili yako 👇 drive.google.com/drive/folde… Repost iwafikie wengi ✅
3
3
74
Mkuu @MalisaGJ_ nimemuunganisha huyu Dar kwa contacts zilizopo kwenye Foundation yako, hajafanikiwa kupata mawasiliano nao. Nakuomba uweze kuwasiliana naye kisha uone namna ya kumsaidia. Huyu dada yuko Mbeya, ana binti ambaye anachangamoto ya kiafya.
10