Adolfu retweeted
Wahuni wamemuotea Homeboy wangu😔
Haya mambo yanaumiza sana, tumekua tukiyakemea kwa miaka sasa.
Hatutaacha, hatutachoka kuendelea kuyakemea.
Unapoona matukio kama haya usiache kukemea, nitakwambia kwanini!!
Hili genge la watekaji halitumiki kuteka tu wapinzani, wanaharakati wanaoikosoa serikali na wanaojihusisha na siasa NO.
Ni genge hili hili hutumika na litatumika kuteka, kupoteza na kuua watu kwa sababu za kimahusiano, biashara na mambo mengine kwa maslahi ya watu fulani.
Usiamini, usipuuze, usifurahie na kujiona uko salama kwa sababu tu hujihusishi na siasa au hukosoi watawala na serikali….
NO BODY IS SAFE MY DEAR.
Ipo siku utaingia kwenye 18 zao either kimahusiano, kibiashara, kinamna yoyote ile….na utapitia mateso haya haya wanayopitia wanaharakati!!
Huu sio utamaduni wa kuu~entertain au kuukalia kimya utaendelea kuota mizizi hadi kizazi kijacho!!
Tuungane kwa pamoja kuupinga!!
Twaha…….it hurts to look at your pictures without knowing where you are or what you’re going through.
I pray for your safety and may the blood of Jesus protect you.
We want to hear your voice and see you smile again.
Come home safely home boy ❤️
Adolfu retweeted
Tusambaze huu ujumbe kwa REPOST ZA KUTOSHA labda wakenya watatuelewa.
#FreeTwahaMwaipaya
Adolfu retweeted
Twaha ananiuma jamaniiiiiiiiiiii……..
Watanzania, lazma tupambane kwa njia yoyote ile. This is too much……
Yani the fews times nilizo chat na huyu kaka niligundua ni bonge moja la mtu na kwamba yupo dedicated na kuona haki inapatikana Tanzania.
Twaha alipambania nchi yake na sisi tumpambanie mpaka tumpate akiwa hai…:.
Adolfu retweeted
#FreeFortunatusBuyobe
Popular writer and blogger Fortunatus was taken by people claiming to be from Temeke police and his whereabouts are unknown
He survived an attempted abduction days ago!
@SuluhuSamia continues with her reign of terror against critics
We demand the release of Fortunatus
Cc @WGEID @OHCHR_EARO @UNHumanRights @AmnestyEARO @hrw
Huu upumbavu wa kuteka UKOME na mwachieni Fortu mara moja @tanpol
#FreeFortunatusBuyobe
Adolfu retweeted
CNN’s investigation into Tanzania’s post-election violence is out tomorrow around the world
Adolfu retweeted
Deusdedith Soka na Wenzake wapo kizuizini kituo cha Polisi cha Kati, Posta-Dar es Salaam (Central), Wapo kwenye moja ya chemba maalum za mahabusu zilizopo underground upande wa kushoto...
Hali zao za afya haswa Soka sio njema sana, kutokana na mateso ya aliyopewa awali na👇
Adolfu retweeted
🚨AMETEKWA🚨
Mtangazaji wa TV3 GWAMAKA FRANCIS GEAS, ametekwa siku ya jana, ndugu wanamtafuta tuwasaidie kupaza sauti.
Adolfu retweeted
Rose ( @rose_mayemba) amekuwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Njombe.
Katika wenyeviti wa CHADEMA mikoa yote Rose ni mmoja kati ya wenyeviti wanawake wawili waliowashinda wanaume.
Uchaguzi mkoa wa Njombe 2024 umevunjika mara mbili Rose akiwa anatetea nafasi yake hii kutokana na kutounga mkono rushwa za Abdul. Mara ya pili Rose alimkamata na rushwa mgombea mwenzake kitu kilichopelekea mgombea mwenzake kuondolewa na kubakia Rose peke yake ijapo mpaka sasa chama hakijafanya uchaguzi nafasi ya mwenyekiti Njombe.
Kwa namna uchaguzi wa Njombe ulivyo gubikwa na rushwa, Rose ametia nia kugombea kamati kuu ili kwenda kuongeza nguvu ya kukabiliana na rushwa.
Naomba REPOST 200 hapa.🔥🔥🔥🚀🚀🚀
Pilot amesha toa may day call
Na kabeba parachuti 🤔
Andika wosia tupo 35 feet above the sea level
1
2
30
Adolfu retweeted
FULL TIME ⌚
🇹🇿 @SimbaSCTanzania 4 - 1 @AsVitaOfficiel 🇨🇩
The Tanzanian side register a convincing 4-1 victory to top Group A with 13 points. 🦁
#TotalCAFCL | #SSCASV
Adolfu retweeted
Rest in Peace our brother Ruge 🙏🏽🙏🏽
Your contribution to the media industry has left an indelible mark! Pumzika kwa amani 🙏🏽
Adolfu retweeted
The anniversary of the devastating earthquake 8 years ago is a day to remember the tragedy, honor the resilient people of Haiti, & affirm America’s commitment to helping our neighbors. Instead, we‘re subjected to Trump’s ignorant, racist views of anyone who doesn’t look like him.
My week on Twitter 🎉: 28 New Followers, 1 Mention, 3 Favorited, 1 Reply, 4 Tweets, 43 New Following. See yours with sumall.com/performancetweet/…
3
Adolfu retweeted
WIN! We are giving away a 2017/18 Lukaku shirt today!
To enter:
—RT this tweet
—Make sure you follow @brfootball
Good luck! #BRShirtsWeek


























