Al Battan (@guy451988) header
Al Battan (@guy451988) profile picture

Gemmologist💎, I'm Religious and too radical Muslim 🕋/Believing in two Gender/Mtoto wa mkulima.

Joined March 2022
Kilichopo nyuma ya mzozo wa Niger vs ECOWAS, EU na Nigeria Thread 🧵 – at Dar es Salaam, Tanzania
21
77
5
646
48,503
Biblia zip tofauti kw content kabisa. Kuna Catholic Bible, Protestant Bible, na Ethiopian Bible, na hapa sio tafsiri tu zilizotofautiana, kuna IDADI YA VITABU TOFAUTI Catholic wana Maccabees,Protestant hawana. Ethiopian wana vitabu ambavyo madhehebu mengine hawavitambui kabisa
Muslim: You have so many versions of the Bible. Which one am I supposed to read? Me: They’re all the same in content, KJV, NKJV, and the rest. The difference is just in the English wording. Muslim: That’s not true. The Catholic Bible, Protestant Bible, and Ethiopian Bible are different. Catholics 73 pages Protestant 66 pages explain it. Me: They all communicate the same core truth, that Jesus died and resurrected. The reason some has more pages is because they include additional Jewish historical or traditional books, but that doesn’t change the message. Muslim: You Christians are really confused. How can there be so many Bibles? The Quran is one, anywhere you go, it’s the same. Me: Did my explanation just go over your head? Muslim: Why can’t there be just one Bible everywhere? Me: It is one Bible. The only difference is that some versions include extra Jewish historical books. The four Gospels, the foundation of Christianity, are present in all of them, along with the rest of the Old Testament. It would only be a problem if the Gospels were missing, but they’re not. Muslim: The King James Version was written by a gay man. How can your God allow that? Me: You said the Quran is one, right? I can show you it’s not exactly “one” there are different versions and recitations. Muslim: Foolish girl, the Quran is one everywhere! Me: Relax, no insults. Which one do you use, Hafs or Warsh? Muslim: There are no different Qurans. I challenge you to show me two if you can! Me: There are over 25, but let me mention three: Hafs, Warsh, and Qaloon. Muslim: You’re a foolish girl. All you do is spread lies against Islam. One day you’ll wish you never did when you meet the angel of death. Me: Calm down, it hasn’t gotten to that. Notice how I calmly addressed your point about the Bible without insulting. We don’t hide that there are different Bible versions, and I explained why some have extra books. Now calmly explain why there are different Quran and recitations. Muslim: (after one hour) The Jehovah’s Witness Bible is also different, and they even point out thousands of errors in the Bible. So your Bible is corrupted. Me: Let me educate you small, there are multiple Quran versions and they’re not identical. That’s why different regions use different ones. For example, Libya and Tunisia use Qaloon, while Algeria and Morocco use Warsh. If the Quran is one, why doesn’t everyone use the same version? Muslim: You’re not here to learn. Your hate for Islam won’t let you understand. I’m done talking. Me: Before you go, Jehovah’s Witnesses don’t identify themselves as Christians. There are no contradictions in the Bible, what you mostly find are minor copying errors or variations from ancient manuscripts, especially where original Hebrew texts had gaps or damage. Those are not contradictions. Muslim: Jehovah’s Witnesses believe in one God. They’re more Christian than you. You worship a man, they don’t. Me: By that logic, they would also be Muslims since they submit to one God. Do we agree on that? Muslim: Debating you is like talking to a 3-year-old.. You’re not smart at all. Me: 😂😂😂 Alright, bye. I can’t deal. 😂😂
1
24
Sasa Mungu aliteremsha Biblia gani? yenye vitabu 66, 73, au 81? Na huwezi kusema vyote vipo sahihi. Na nani alipewa mamlaka ya kuamua vitabu vya Mungu viwe kadhaa? Na ndio tatizo linapokuja kwenye madhehebu ya Kikristo mengi yametofautiana
1
6
Hoja yako ina double standard au labda pengine hujui histoiria ,kwasababu kwanza hakuna dini iliyoingia mahali ikakuta hakuna tamaduni au dini za watu ,Kila dini imeingia kwenye jamii ambazo tayari zilikuwa na dini na tamaduni zao.
Kasome historia ya middle east Uislam wenyewe kutoka Arabia ulienea middle east Kwa njia ya vita na walikufa watu kibao. Hizo nchi walikuwa ni kwakristo, wapagan na wasiokuwa na dini niulize why Sasa hivi 90% ni Islam's.
1
10
Hata Ukristo ulipoanza kuenea chini ya Dora la rumi watu wengi walikuwa wapagani (polytheists),na Kulikuwa na dini za kale za Warumi na Wagiriki Baada constantine the Great na dola zingine kuanza kuunga mkono ukristo. Dini na tamaduni za watu zikaanza kupotea taratibu ,
1
2
Replying to @zoetjesheeftX
@zoetjesheeftX Kwanza kabisa, moja ya mambo yaliyopotoshwa sana ni madai kwamba wanaume wameahidiwa wanawake 72 Peponi . Qur’an haijasema hivyo kabisa, wala haijaweka Pepo kama mahali pa starehe za wanaume pekee.hio dhana hsipo Kwenye msingi wa mafundisho ya dini,
Naomba tueleweshane bila kufokeana, Nimekuwa nikiona na kusikia kuwa mwanaume wa kiislamu akifa anaenda kupewa wanawake 72 ambao ni mabikira huko Peponi ( Sina hakika kweli kama ni 72) Sasa najiuliza, na wanawake nao Wakifa huwa Wana Pewa nini huko Peponi Cha kipekee kinacho wafanya wafurahie kama ilivyo Kwa wanaume?
3
1
521
Hili Swali liko very logical haliitakiwi kupuuzwa Mimi nitajibu insha'Allah Kwa mtazamo wa kiislamu katika Uislamu, Allah ana sifa ya elimu kamilifu (ʿilm). Anajua yaliyopita, yaliyopo, na yatakayokuja.Maana yake -Aanajua utaamini au hutamini -Anajua kila uamuzi utakaofanya
Maswali machache kuhusu UWEZO WA KUAMUA. Inasemekana kwamba Mungu amempa mwanadamu uwezo wa kuchagua ama amwamini au lah. Je, Mungu anajua nitachagua nini kati ya haya?? Anajua kama nitachagua kumwamini au lah? Kama ana hiyo foreknowledge, uwezo wangu wa kuchagua upo wapi?
1
16
Lakini kujua kwake kitu kabla hakijatokea haina maana ya kukulazimisha ukifanye, mfano rahisi Mwalimu anaweza kujua mwanafunzi fulani atafeli kutokana na tabia zake za uvivu au kutosoma. lakini Je, mwalimu huyo amelazimisha mwanafunzi afeli? HAPANA,
1
1
At this point, you’re not even debating you’re just inventing history, It’s logically impossible If that were true then where did the millions of African men in regions like Sudan and Mauritania come from How do entire Black Muslim societies exist today if men were all killed?
Oh I see your ignorance. Their rules permitted them to keep women as slaves either convert them to their religion, however, killed all men. The descendants you see is rooted from keeping few adolescent African girls alive.
1
25
You’re describing a total genocide… yet the populations are still there, how that possible? And you keep saying Islam allowed this without proof ,show me one clear instruction from the Qur’an or teachings of Muhammad that says -Kill all enslaved men -Only keep girls
1
9
“Na wanapoambiwa: Msifanye uharibifu katika ardhi, husema: Sisi ni watengenezaji (peacemakers). Hakika wao ndio wafisadi lakini hawatambui.” Qur’an 2: 11-12
I still can’t believe we left Iraq without the oil.
13
No hard feelings ,Punguzeni ku-socialise mambo . waislam hatutaacha kusema haya sababu ni msimamo thabiti wa dini yetu unaotokana na mantiki na misingi ya ibada katika Uislamu. Christmas kwa Wakristo ni ibada kiitikadi inapingana na misingi ya tauhidi, Kwa Muislamu,
Aliye tuloga sisi watu weusi inatosha sasa, wenye dini yao hawana shida, kuna hawa walio letewa dini sasa 😂😂😂🙌
1
28
kusherehekea au kuiga ibada ya dini nyingine ni kuingia kwenye kushiriki ibada ambayo haiko katika Uislamu. Dini yoyote makini lazima iwe na misimamo kipi ni ibada, kipi si ibada, na kwa sababu gani.
1
11
Utumwa ulikuwepo Kabla ya Muhammad (PBUH), Kabla ya Uislamu, Kabla ya Waarabu, Kabla ya Wayahudi, Kabla ya Wakristo, Kabla ya na kabla ya wazungu Uislamu haukuanzisha utumwa uliikuta tayari umeenea duniani kote. Uislamu ndio unamchango mkubwa katika kupunguza na
You’re unable to view this post because this account owner limits who can view their posts. Learn more
1
22
kuzuia hatua kwa hatua, Mfano Qur'an ilihimiza ukombozi kwa watumwa ikafanya Kumuachia mtumwa kuwa ni miongoni mwa matendo mema na haki( Qur’an 90:13 Makosa mengi adhabu yake ilikuwa kumweka huru mtumwa Mfano) -Kuvunja kiapo (Qur'an 5:89) -Mauaji bila kukusudia (4:92)
1
4
Hio unayoita IQ kubwa ilipaswa kukusaidia kutofautisha kitu kidogo sana adhana kutosikika wakati wa marufuku ya kutoka sio unafiki, ni dharura. Mtume amesema " msijitie katika hatari " na ukisikia mahali kuna tatizo usiingie na kama limekukuta mahali ulipo usitoke,
This quoted post is unavailable.
1
19
na zipo hata swala za kuunganisha mbili kwa pamoja, na ruhusa ya kuswalia nyumbani kwenye nyakati za dharura
14
Acheni haya mnazua taharuki na mnapunguza nguvu na morali za raia kupambana
This quoted post is unavailable.
22
Hivi hakuna namna sisi kama waislamu tukashughurika nao hawa masheikh wanaoongea upuuzi .kipindi inchi inapitia changamoto wao wapo bize na wali wa hitima leo watu wanatoka kukemea ,wao badala ya kujadili kilichkemewa wao wanashambulia watu
1
4
460
WITO WA MABADILIKO (REFORMATION) KWA TAASISI ZA KISLAMU Bismillāh, Alhamdulillāh, Wassalātu Wassalāmu ‘alā Rasūlillāh. Tunatoa wito wa kina na wa dhati kwamba taasisi zetu za Kiislamu za uongozi wa kidini katika ngazi ya taifa zifanyiwe marekebisho ya kimfumo (reformation)
Hey @grok, according to the quran, what comes first: justice (righteousness) or peace?
1
4
1
6
3,134
ili zirejee katika misingi yake halisi kusimama na Qur’an, Sunnah na ulinzi wa haki za wanyonge. Kitendo cha kupongeza samia ushindi na kusifu vyombo vya usalama bila kugusia dhuluma walizopata raia dhidi ya utekaji, kunyimwa uhuru wa kujieleza
1
129
Kazi imeanza
This quoted post is unavailable.
72
Lilikua swala muda kuliunganisha na Uislam
This quoted post is unavailable.
85
Kwa mwamosa tayari kimenuka
34
Hii inchi imefika hatua watu wanaogopa kujadiri madhaifu ya viongozi na kuwasema kwa hofu ya kutekwa tumefika pabaya sana
Taarifa, kiduku Maarufu kama ofisa ngiri kakamatwa na Police. mwenye taarifa zaidi tunaomba atujuze nini kinaendelea
1
6
200
Kama mpambanaji unatakiwa uelewe kitu ,kwenye maisha hakuna formula ya kufanikiwa ingekuwepo kila mtu angekuwa tajiri. Mafanikio yana siri nyingi - Mazingira au sehemu ulipozaliwa, familia, elimu, fursa ulizokutana nazo.
1
22
- Tabia na uwezo binafsi yani nidhamu, uvumilivu, creativity, ujasiri wa kuchukua risk. -Wakati (timing) unaweza kuwa na idea nzuri lakini usipoitoa wakati sahihi,idea inakufa. -Connection sahihi inaweza kukufungulia mlango ambao usingeweza kufungua mwenyewe
1
14
Kuna mambo mengi sana yanayoendelea duniani hapa hatuyajui na hata ukiamua kufuyafuatilia umri wako hautoshi kuyajua yote. And it's illegal for printers company not do this
21
Inchi hii ikitokea la kutokea ccm na watu wao ndio wamesababisha.
“ niliambiwa niondoe ujumbe wa kero na changamoto za wananchi Huko JamiiForums, nisipoondoa hasa hiki kipindi cha kampeni watakuja na walikuja, mbaya zaidi mmoja alinipigia simu kwamba tunaweza kukupoteza watu watapiga Kelele mwezi mmoja miwili mitatu na watasahau” @macdemelo Haya yanafanyika kwenye taifa ambalo linajinasibu lina UHURU wa vyombo vya habari. Huyu ni mmiliki wa Jukwaa kubwa Tanzania na nje ya Tanzania anatishiwa kirahisi rahisi hivi. Fikiria watu ambao hawana platform na majina makubwa kama Max—wangapi wanapotea kila siku kwa kujaribu kutoa maoni yao kwa uhuru. Tupo kwenye zama za giza, wakoloni weusi wanaroho mbaya kuliko wakoloni weupe. Ukatili wanaoufanya hawa WAKOLONI WEUSI hata waasisi wa Ukoloni wanashangaa. Tunatakiwa tukomeshe haya mambo—haiwezekani tukawa kwenye taifa ambalo kuna kikundi cha watu wachache kinachoweza kuamua nani leo afe na nani aishi. Watu wamejipa kazi ya kuwa MIUNGU WATU. TAREHE 29.10 ndio siku ya kukomboa hii nchi, lazima tutoke majumbani na kuandamana kuidai uhuru wa kweli. REPOST 200 #OKTOBATUNATOKA #TUTAKUWEPO🫵🏾😎
25