Steven Vitalis (@veenblessing) header
Steven Vitalis (@veenblessing) profile picture

Son Of God || Copywriter || 😊 Trained over 500 people on how to sell anything anywhere by words. I share wealth tips and business Hacks

Dar Es Salaam
Joined February 2023
Photo by Steven Vitalis (@veenblessing)Photo by Steven Vitalis (@veenblessing)Photo by Steven Vitalis (@veenblessing)Photo by Steven Vitalis (@veenblessing)Photo by Steven Vitalis (@veenblessing)Photo by Steven Vitalis (@veenblessing)Photo by Steven Vitalis (@veenblessing)Photo by Steven Vitalis (@veenblessing)Photo by Steven Vitalis (@veenblessing)Photo by Steven Vitalis (@veenblessing)
Mafanikio mara nyingi yanakuhitaji wewe utoke nje ya eneo lako la faraja (comfort zone) na kuchukua hatari (risks). Nikamsikia Dada mmoja kutoka Nchini SA (South Africa), Akasema kuwa moja ya hatari kubwa kuwahi kutokea kwenye maisha ya mtu ni kutochukua hatari yoyote. 👇👇
10
22
2
91
10,580
Watu wakijua una uhitaji sana wa hio pesa, Watakutumia wewe pamoja na muda wako, Maana hio automatically inakufanya unakua insecure mbele yao, Never make money as your master but only a slave
1
3
155
Watu wakijua una uhitaji sana wa hio pesa, Watakutumia wewe pamoja na muda wako, Maana hio automatically inakufanya unakua insecure mbele yao, Never make money as your master but only a slave
1
3
155
Steven Vitalis retweeted
Watu potential wana kitu kimoja ambacho ni LIMITED, kitu hicho ni TIME, Unatakiwa kuonyesha au ku-provide value ili wakupe muda wa kukusikiliza, kukusupport au kushirikiana na wewe, Focus kwenye kutengeneza value so that you can have something to provide
2
12
70
3,111
Steven Vitalis retweeted
Kuna Mambo haya Makubwa ambayo yanaweza kumpa Matokeo mtu yoyote kama atayafanyia kazi, 1. Persistence [Hali ya Kufanya kwa kuendelea hadi uone matokeo unayoyataka] 2. Longevity [muda unaotumia kufanya jambo hilo unalotamani kuona matokeo] Napoleon Hill
5
11
439

Hakuna mtu atasoma hivi vitabu na kubaki hivyo alivyo sasa. Kama yupo nyosha mkono 1. Richest man in Babylon 2. Think and Grow Rich 3. Psychology of money 4. RichDad PoorDad 5. Atomic habits 6. The Almanac of Naval 7. Never split the difference 8. The Millionaire mind
13
34
4
140
14,161
Yes Mkuu Nakamu, Mara zote Hio ndiyo Mindset ya Matajiri wengi, Lakini watu wengi wenye poor mindset huwa wanawaza nini cha kununua mara tu wanapopata fedha, Lakini hawawazi wapi wakawekeze ili waizidishe pesa yao, Mind you ukinunua kitu money is going out, and vice versa
1
2
8
178
Uzi nilioandika Leo kuhusu utengenezaji na uuzaji wa ebook kupitia Chatgp Baada ya kuandaa Ebook yako Swali kubwa ni nauza wapi? Kila MTU ameuliza Jibu NI popote pale unaweza uza (WhatsApp, Facebook, tiktok, telegram, YouTube) na social media zingine Lakini pia kwenye site mbalimbali Google/uliza Ai. Website where I can sell my Ebooks itakupa nyingi Fanya utafiti uone ipi inakufaa Lakini pia unaweza kumcheki @nickyrabit Founder na CEO WA @CreatorStoreApp Utaweza kuuza kupitia software yake kirahisi zaidi kama bwana @gabyconscious Na @veenblessing Waliyotumia kuuza E-book zao That's all for now! If you enjoyed this post: → Follow me @officialhimsel1 for more. → Like/Repost the first post so more people can learn. → Comment to add value or spark a conversation. Thanks! 🖤
7
24
2
102
10,437
If it is thinkable, it is possible, What man sees determines what God gives. Cheers⏳️
2
4
199
Chochote unachokijua/Ulichojifunza kama hukitumii na pili hakikusaidii ni takataka🚮 Kuna mtu analipia mentorship $300 alafu analala tu baada ya course na anategemea awe na matokeo ya mentor wake, Kanuni hazina upendeleo, unaruhusiwa kuvuna ulichopanda tu✅️
3
9
366
Replying to @chibelube
Exactly, Mungu anatumia kitu kinaitwa [The System Of Men] Akitaka kumuinua mtu anatumia mtu n.k So ni muhimu mno mtu binafsi kujifunza kutengeneza mahusiano ya kimkakati na watu, Finally, Mahusiano sio karama ila ni Uwekezaji [an Investment] Umetisha man!
1
2
258
#tbt with values Kwenye biashara utapoteza pesa na muda mpaka pale umekuja kujua kuwa unahitaji kujua kanuni zinazofanya kazi kwenye biashara na ukazifanyia kazi, Mostly huwa nasema hakikisha unajifunza high income skill yoyote, haitakuangusha, Usiishie kuwa local businessman
1
1
3
122
At least Kila mfanyabiashara anapaswa kuwa Copywriter kuliko Marketer, Why?? Marketer anauza bidhaa lakini copywriter anauza Offers✅️ Na offers ndio engine ya sales generation na sales funnel😎 Na hapo ndio patamu haswa, Au kaka @NyandaAmosi unasemaje?
1
53
Nimekuja kujua kuwa Knowledge haikimbiliki, Hata kwenye eneo la productivity, Utazalisha kutokana na kile unakijua, So kama hujui chochote huwezi kuzalisha chochote, My brother @NyandaAmosi huwa anasema hakikisha unajifunza high income skill yoyote, haitakuangusha👏
1
2
11
894

Maneno yako ndio yanapaswa yainuke kuliko sauti yako [soma tena] Kumbuka kinachootesha maua ni mvua na sio radi ingawa vyote huja kutoka juu, Kuna muda hata kama una valid point ya kujitetea ni bora ukae kimya ili ulinde r/ship uko nayo Wisdom is to have an ability to discern
3
10
251
Steven Vitalis retweeted
The Quality of your life depends on what you know, Kitu unakijua ndicho kinaamua ubora wa maisha yako✅️ In other words, huwezi kuwa na Maisha bora zaidi ya kiwango chako cha Maarifa⏳️
4
11
369
The Quality of your life depends on what you know, Kitu unakijua ndicho kinaamua ubora wa maisha yako✅️ In other words, huwezi kuwa na Maisha bora zaidi ya kiwango chako cha Maarifa⏳️
4
11
369
Haijalishi una hatima kubwa kiasi gani, Unazuilika kutokana na kiwango chako cha KUJUA [Level of Knowledge] So kwenye niche yoyote ile hakikisha watu hawajuti kukupa kazi au mishe fulani kwa sababu ukiwa na Knowledge sahihi utakua na uhakika wa Ku-deliver best results.
3
7
327