Steven Vitalis retweeted
Watu wakijua una uhitaji sana wa hio pesa,
Watakutumia wewe pamoja na muda wako,
Maana hio automatically inakufanya unakua insecure mbele yao,
Never make money as your master but only a slave
Steven Vitalis retweeted
Watu potential wana kitu kimoja ambacho ni LIMITED,
kitu hicho ni TIME,
Unatakiwa kuonyesha au ku-provide value ili wakupe muda wa kukusikiliza, kukusupport au kushirikiana na wewe,
Focus kwenye kutengeneza value so that you can have something to provide
Steven Vitalis retweeted
Kuna Mambo haya Makubwa ambayo yanaweza kumpa Matokeo mtu yoyote kama atayafanyia kazi,
1. Persistence [Hali ya Kufanya kwa kuendelea hadi uone matokeo unayoyataka]
2. Longevity [muda unaotumia kufanya jambo hilo unalotamani kuona matokeo]
Napoleon Hill
Steven Vitalis retweeted
Hakuna mtu atasoma hivi vitabu na kubaki hivyo alivyo sasa.
Kama yupo nyosha mkono
1. Richest man in Babylon
2. Think and Grow Rich
3. Psychology of money
4. RichDad PoorDad
5. Atomic habits
6. The Almanac of Naval
7. Never split the difference
8. The Millionaire mind
Steven Vitalis retweeted
Replying to @shabirnakamu @tazamaMbali
Yes Mkuu Nakamu,
Mara zote Hio ndiyo Mindset ya Matajiri wengi,
Lakini watu wengi wenye poor mindset huwa wanawaza nini cha kununua mara tu wanapopata fedha,
Lakini hawawazi wapi wakawekeze ili waizidishe pesa yao,
Mind you ukinunua kitu money is going out, and vice versa
Steven Vitalis retweeted
Uzi nilioandika Leo kuhusu utengenezaji na uuzaji wa ebook kupitia Chatgp
Baada ya kuandaa Ebook yako
Swali kubwa ni nauza wapi?
Kila MTU ameuliza
Jibu NI
popote pale unaweza uza (WhatsApp, Facebook, tiktok, telegram, YouTube) na social media zingine
Lakini pia kwenye site mbalimbali
Google/uliza Ai. Website where I can sell my Ebooks itakupa nyingi Fanya utafiti uone ipi inakufaa
Lakini pia unaweza kumcheki @nickyrabit
Founder na CEO WA @CreatorStoreApp
Utaweza kuuza kupitia software yake kirahisi zaidi kama bwana @gabyconscious
Na @veenblessing
Waliyotumia kuuza E-book zao
That's all for now!
If you enjoyed this post:
→ Follow me @officialhimsel1 for more.
→ Like/Repost the first post so more people can learn.
→ Comment to add value or spark a conversation.
Thanks! 🖤
Steven Vitalis retweeted
Chochote unachokijua/Ulichojifunza kama hukitumii na pili hakikusaidii ni takataka🚮
Kuna mtu analipia mentorship $300 alafu analala tu baada ya course na anategemea awe na matokeo ya mentor wake,
Kanuni hazina upendeleo, unaruhusiwa kuvuna ulichopanda tu✅️
Steven Vitalis retweeted
Replying to @chibelube
Exactly,
Mungu anatumia kitu kinaitwa [The System Of Men]
Akitaka kumuinua mtu anatumia mtu n.k
So ni muhimu mno mtu binafsi kujifunza kutengeneza mahusiano ya kimkakati na watu,
Finally, Mahusiano sio karama ila ni Uwekezaji [an Investment]
Umetisha man!
Steven Vitalis retweeted
Nimekuja kujua kuwa Knowledge haikimbiliki,
Hata kwenye eneo la productivity,
Utazalisha kutokana na kile unakijua,
So kama hujui chochote huwezi kuzalisha chochote,
My brother @NyandaAmosi huwa anasema hakikisha unajifunza high income skill yoyote, haitakuangusha👏
Steven Vitalis retweeted
The Quality of your life depends on what you know,
Kitu unakijua ndicho kinaamua ubora wa maisha yako✅️
In other words, huwezi kuwa na Maisha bora zaidi ya kiwango chako cha Maarifa⏳️
Steven Vitalis retweeted
Haijalishi una hatima kubwa kiasi gani,
Unazuilika kutokana na kiwango chako cha KUJUA [Level of Knowledge]
So kwenye niche yoyote ile hakikisha watu hawajuti kukupa kazi au mishe fulani kwa sababu ukiwa na Knowledge sahihi utakua na uhakika wa Ku-deliver best results.
Steven Vitalis retweeted
Tuwekane sawa kidogo..
Watu huwa wana tabia ya kuchukua maneno mara nyingi bila kutafuta undani wake na wao wanaandika tu..
Kuna hii ya kiyosaki kusema..
“paper money is fake money, so people should buy golds”
Wakuu kununua gold sio investment (elewa), kununua gold ni..
Steven Vitalis retweeted
Kwenye marketplace ya Destinies kuna assets mbili kubwa ambazo zinakua traded na watu wazima tu [si kimwili bali kiukomavu]
1. Time
2. Knowledge
Ukielewa namna hivi vitu viwili vinafanza kazi kwenye kukufanikisha basi utastawi tu
Nitaendelea..
Steven Vitalis retweeted
Ili ufanye kitu ni lazima ujue kitu,
Uwezo wako wa kufanya mambo umefungwa kwenye kile unakijua
Knowledge mtu wangu😊
Steven Vitalis retweeted
Kwenye Maisha haya na Kwa Umri wangu huu,
Nimejifunza kuwa hakuna kitu KISICHOWEZEKANA,
Ukiona kitu kinakushinda wewe usikimbilie kusema hakiwezekani,
Ni vile kuna dimensions za possibilities hujafikia
Hakuna lisilowezekana kwake AAMINIYE✅️
Amini then fuata Kanuni =Boom🔥
Steven Vitalis retweeted
Mtu Kuwa Broke ni hali temporary ambayo inaweza kuwa corrected endapo mtu huyo atapata taarifa sahihi kuhusu wealth na ustawi,
Ila poverty ni eternal, kwa maana nyingine ni roho,
Taarifa pekee haitoshi kuitoa roho hiyo,
Unahitaji ui cast out🔥 kama demons wengine.
Steven Vitalis retweeted
Kati ya haya matatu[3] ni lazima unafanya moja daily:-
Unanunua- unapoteza fedha
Unauza-Unaingiza fedha
Unawekeza-unaikuza fedha yako
Pesa ipo kwenye cash flow,
Ndio maana hata ukiwa na pesa nyingi na haitumiki for years inapoteza thamani
Wakuu issue ni CASHFLOW
Steven Vitalis retweeted
Nimekuja Kujua Kwa umri wangu huu mdogo,
Kuwa hakuna jambo lisilowezekana chini ya jua kwa kila mtu ANAYEAMINI,
Imani haina dini, rangi wala kabila,
Imani ni lugha pekee inayozungumzwa kwenye kuwezekana [possibilities]
Mind you,
Imani haileti URAHISI ila inaleta KUWEZEKANA


















