Pinned Tweet
6/11/2026 mchana ;Mahakama imemhukumu Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Tundu Lissu, kifungo cha miaka minne jela kufuatia kutiwa hatiani kwa kosa la uchochezi katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya uhaini.
Erasto Lashau retweeted
Original cargo shirts available ✅
Price 40000 Tzsh @ 1
Size L,Xl,Xxl & Xxxl✅
📍 Ubungo External Maziwa Road
Delivery ✅ (No Free Delivery ❌)
📞 0763509705
Erasto Lashau retweeted
"A fool complains about a hole in his pocket, a wise man uses it to scratch his balls" – at Esem, Ghana
Erasto Lashau retweeted
Siku serikali ikiaanza kusoma ripoti ya majeruhi walofariki kwa sababu ya Bodaboda, kila mtu aatanza kuogopa kupanda pikipiki.
Erasto Lashau retweeted
Me sioni sababu ya nyie kulambana ilikua ni kuelekezana kwenye makosa aya fix basi ila sio kufikia huku. Hekima muhimu sana kwenye biznez..
NB:Tuzidi kuombeana👏🏿☘️
Hebu nisaidieni kucheka jamani, ila hawa wauza furniture uchwara tunaowaokota mitandaoni na kutaka kuwasupport eti kisa marafiki zetu na tuna ukaribu nao wanajuaga sana kutudissapoint😂
Nlitaka sofa frame 1 na nikainsist sana kwamba iwe hivyo akanambia nimpe 850k uhakika (YAANI NLITAKA SAME EXACT DESIGN HADI RANGI) mind you mwanzo budget ya sofa ilikua 780k akasema siezi pata hiyo design kwa 780 niongeze hela bila shida nikaongeza hadi 850k
Sasa nkaa nashangaa mtu anainsist kunitumia vitu bila kutuma picha, kheee si ndo nmforc picha natumiwa huo utumbo😹
Haya hebu niambirni hiyo frame two na huto tumito ndo nini😂 mi hapa hadi badala ya kukasirika nmebidi nicheke kwanza😹😹😹
Hivi hatakama nna gubu hiyo frame 2,3 na 4 ni sofa ya LAKI NANE NA NUSU HIYO?!
😂😂😂😂MKISUPPORTIWA HEBU SAPOTIKENI JAMANI MNATUPA WAKATI MGUMU
Erasto Lashau retweeted
Tupo watanzania Milioni 60 tukicheza mchezo wa jero jero anataka mtu na billioni 30,umaskini hii nchi tujitakie tu.
Erasto Lashau retweeted
SIZE 44-56✅
COAT & PANT 180k
FULL 230k ( COAT, PANT, SHIRT, TIE)
wa.me/255763509705
@OG_SUITS
Erasto Lashau retweeted
Mnyonge Mnyongeni , Apa Ongeza Camera Na Boresha Tu Background,
89%✅
Wateja eeh, karibuni machinery belts imara, aina ya V belts class, A,B,C,D, flatbelts, timming belts, na fen belts za magari zipo available ⚡⚡🔥, tunapatikana kariakoo mtaa wa mnadani karibu na bigboni, tunafanya delivery kwa mteja akinunua kwa bei powa kabisa.
Cont;0756938433


















































