Lord Msoffe retweeted
Reginald Mengi kwenye kitabu chake I CAN, I MUST, I WILL
aliandika
Fisadi Papa, hana kiwanda, hana biashara ila ana ofisi Posta, ana simu ya mawasiliano ya Ikulu, anamiliki Gazeti la kumsifia, anamiliki wabunge na Mawaziri wa kumtetea na anashinda Zabuni.
That is Mengi RIP
Lord Msoffe retweeted
Hizi Benki kubwa mbili zikiendelea na dharau juu ya malalamiko ya wateja kuna siku watakuta watu wameline up nchi nzima wanachukua hela zao; wanajisahau sana, haya malalamiko ya hela kupotea ni hatari kwa financial sector, hasa wao ambao base yao ni watu wengi watafutaji wa chini
Lord Msoffe retweeted
Mwai Kibaki was a heavy drinker, but throughout his presidency and public life, we rarely saw him displaying alcohol or posing in front of it.
It may feel innocently cool and chill to pose with alcohol, but remember that the public doesn’t always interpret such images the way you intend.
You may see fun; others may see recklessness or question your judgment.
If you are a public figure with leadership ambitions, guard your image. You don’t have to advertise everything you enjoy.
If you must drink, do so in private. Not everything you do for fun needs to be public.
Lord Msoffe retweeted
Huyu alikua dereva wa kampuni ya mabasi ya Grren line Express .
Bwana Siraji Ndosi, wakati wa uhai wake aliwahi kurekodi video hii akielezea chanzo cha ajali nyingi za Barabarani Tanzania.
Nimeambiwa ajali ya juzi iliyohusisha lori na basi kugongana uso kwa uso nae alifariki Dunia.. ajali hiyo mbaya ambayo imechukua maisha ya Watanzania 28 kwa pamoja na wengine wengi kubaki na ulemavu wa kudumu.
Hapa Tanzania kwa namna ambavyo utu na ubinadamu wetu umekosa thamani watu wengi namna hiyo kufa ni jambo la kawaida tu.
Hakuna anaejali vinaandikwa vikaratasi na pole za uongo zisizotoka moyoni.
Hakuna anaechunguzwa ili kudhibiti ajali nyingine isitokee, hakuna anaechukuliwa hatua .
Tujiulize kwanini barabara za uchumi mkubwa kutoka Dar - Tunduma, Dar - Mwanza , Dar- Mtwara , Dar - Arusha na Makambako- Songea miaka 65 baada ya Uhuru bado ni vibarabara vyembamba na vimejaa mashimo tupu.
Ukweli ni kwamba hizo barabara zingekua mbilimbili kila upande tungekua tumeondoa au kupunguza ajali kwa asilimia 95, hakuna ajali za kugongana uso kwa uso kama hii ya juzi kwasababu kila gari inapita upande wake.
Hakuna overtake mbaya, hakuna Shimo la kupasua tairi na kuanguka..
Kwanini barabara inajengwa leo, pamoja na ufinyu wake kabla hata ile diversion mliyokua mnapita kupisha ujenzi haijaota majani unakuta lami imebomoka inakua mashimo tupu… kwa Tanzania barabara ya changarawe iliyoshindiliwa vizuri inaweza kudumu kuliko lami..
Watanzania amkeni, huu ujinga wa ccm utatumaliza, mabarabarani, mahospitalini, vyakula, maji na kila kona ni matatizo.. Utawala huu umefitinika hawana wanachokiweza.
Kulaumu Madereva kwa ajali hizi nyingi ni uongo. Tatizo ni ccm na serikali kuiba fedha na kushindwa kazi ya kujenga miundombinu mizuri.
Lord Msoffe retweeted
Viongozi wa Tanzania, tujifunze kuwa na kiasi na kutosheka wakuu, mnakula mnoo aisee.
Lord Msoffe retweeted
If you don't know who Wicknell Chivayo,Rutos best friend is then this TRT short documentary got you.
He scandals were big like his body.
Lord Msoffe retweeted
Listen, comrades: hakuna baya lililofanywa hapa duniani ambalo litafichwa milele. Mauwaji, utekaji, ufiraji, kupoteza watu, na zaidi, vimefanywa na watu; vimeshuhudiwa na watu. Mambo haya yote yatafichuliwa. Muhubiri anasema KILA JAMBO NA WAKATI WAKE. Mungu ibariki TZ.
Lord Msoffe retweeted
🚨 A Defining Examination of the Rule of Law and Judicial Independence in Tanzania
Although I am not a citizen of Tanzania, the protracted prosecution of Mr. @TunduALissu, chairman of the principal opposition party Chadema and a longstanding advocate for constitutional and electoral reform, commands sustained international attention.
For more than sixteen months Lissu has remained in pretrial detention on a single count of treason under section 39(2)(d) of the Penal Code, an offence that carries the possibility of capital punishment and for which bail is unavailable.
The charge arises from remarks he delivered on 3 April 2025 concerning the necessity of electoral reforms prior to the conduct of the 2025 general election. The prosecution has closed its case after presenting seventeen witnesses; the defence has completed its evidence; and the matter now rests with a three-judge panel of the High Court Justices Dunstan Ndunguru, James Karayemaha and Ferdinand Kiwonde for final submissions and judgment.
What is at stake extends far beyond the liberty of one political figure. The proceedings test whether a political disagreement over the conditions of democratic participation may lawfully be converted into a capital criminal prosecution.
Human Rights Watch (@hrw) has characterised the charges as fabricated; Amnesty International (@amnesty) has called for Lissu’s immediate and unconditional release. Both organisations have documented a broader pattern of constraints on opposition activity and civic space.
The defence has contested the prosecution’s construction of Lissu’s words, argued that the evidence fails to establish the specific intent required by the statute, and noted the absence of testimony from senior officials who might have spoken directly to whether those words were perceived as a genuine threat to the government.
Lissu himself has observed that the eventual judgment will establish a precedent of lasting significance. That assessment is accurate: the outcome will signal whether Tanzania’s constitutional order prioritises the protection of individual rights and the integrity of judicial process over the instrumental use of the criminal law against political dissent.
I therefore address the three justices with the utmost respect for their constitutional office. Their duty is to examine the evidence presented, apply the governing legal standards without regard to extraneous considerations of political expediency or pressure, and determine whether the prosecution has discharged its burden of proof beyond reasonable doubt.
As Lissu has himself submitted: if the evidence does not fit, the accused must be acquitted. The panel holds not merely the fate of one individual but the credibility of the judicial institution itself.
I address the Government of the United Republic of Tanzania with equal directness. Political dissent, however robustly expressed, must not be treated as a criminal offence.
The deployment of a capital charge of treason as an instrument for narrowing the space for opposition, deterring civic participation, or resolving electoral disputes is incompatible with the principles of constitutional democracy and the international human-rights obligations Tanzania has assumed.
The demand is not that any person stand above the law; it is that the law stand above transient political power. Where the evidence fails to meet the statutory threshold, continued detention serves neither justice nor the long-term interests of the Tanzanian state.
The international community is observing these proceedings with close attention. History will record whether the judiciary discharges its responsibility with independence and fidelity to the evidence, or whether the coercive capacity of the state prevails over the protections the Constitution and the rule of law afford the individual.
Justice cannot be subordinated to power. Judges must not be deterred from acquitting when the evidence requires it.
Lord Msoffe retweeted
“The man who can walk away from what he desires, for the sake of what he must become, is a man no one can own.”
- Epictetus
Lord Msoffe retweeted
Saul mfalme wa Kwanza wa Israel aliyechaguliwa na Mungu alikengeuka na Mungu akamuonya kupitia nabii Samwel ila hakusikia, badae Mungu akamchagua Daudi awe mrithi wa Saul. Hakuna siku viongozi wa dini walikaa kimya dhidi ya watawala wasiotenda haki toka Dunia iumbwe
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda amewaomba viongozi wa dini kutojikita katika kuwasema vibaya viongozi na badala yake waongeze bidii katika kufanya maombi yatakayowezesha viongozi hao kutenda yaliyo mema.
#KemgongoUPDATES
Lord Msoffe retweeted
siku zote inavutia sana kuona waserikali - rais, mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya, etc - wakiongea na w'nchi. kebehi. makaripio. maelekezo. dharau, etc. unajiuliza: hawa watu wanajihisi ni nani, kwa mfano? hivi wanajua 'wanaongoza' nchi masikini, wenyewe wakiwa chanzo kikuu?
Lord Msoffe retweeted
Tundu Lissu: 'Makosa ninayoshtakiwa nayo sio ya uhaini wala sio ya jinai'
bbc.in/4xNgKxt
Lord Msoffe retweeted
Lissu: Yuko wapi Nchimbi?
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antiphas Lissu ameendelea na uwasilishwaji hoja wa mwisho kwa siku ya pili mfululizo katika kesi ya uhaini inayomkabili.
Lissu ambaye bado hajamaliza wasilisho lake, mara baada ya kukamilisha uwasilishaji siku ya leo mbele ya vyombo vya habari alihoji alipo aliyekuwa Makamu wa Rais wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ambaye amekuwa kimya tangu kujiuzulu nafasi hiyo na kufukuzwa uanachama wa CCM.
Nchimbi alitangaza kujiuzulu nafasi ya Makamu wa Rais Agosti 25, 2026, akisema pia anastaafu siasa na utumishi wa umma.
Lord Msoffe retweeted
Mwenyezi Mungu, ninapopitia mabadiliko katika maisha yangu, nisaidie nisipoteze imani.
Nikumbushe kwamba fadhili zako haziondoki.
Nipe amani ninapokosa majibu na nguvu ya kuendelea kukutegemea katika kila msimu.
Amina 🙏🏼
Lord Msoffe retweeted
I wish undercover journalists (investigative journalists) could document the 29th October massacre. Interviewing the victims, the ones that lost the lost their loved ones and publish a documentary.
Lord Msoffe retweeted
Unaweza ukafanya jambo jema, kwa nia njema na likazaa ubaya.
Hii ni reminder tuu kwamba nia zetu zinaweza kuleta matokeo ya aina mbalimbali.





























